hivi mbona mie naona huyu mkaka anataka kutumia njia ngumu sana, mbona hambani huyo mkewe amwambie ukweli kama anahic anachezewa rough? hivi kwanini ackae akaongea na muhucka wake badala ya kukimbilia kampuni za cmu, unamuogopa au? mana cmuelewi kabisa jamaa.