A
unaishia kulalamika bila KUWATAJA we SEMA TU VODACOM ndio wana tabia hii! WANA TABIA ZA ENZI ZA UBAGUZI SOUTH AFRICA! VODACOM ma boss Wao kuna WASAUZI WENYE ASILI YA UHOLANZI ndio wanaofanya haya!Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata kuanzia Asilimia 10 hadi 20 ya commission tunayostahili kupata kwa kufanya miamala nje ya mkoa.
Yaani wanachokifanya ni kwamba Mawakala wanatakiwa kuhudumia miamala ndani ya mkoa husika ambao wakala yumo, na sio kutuma pesa kwenda nje ya mkoa mwingine.
Hivi tunajiuliza nini maana ya biashara huru? Mtu wa Congo hatakiwi kununua mzigo Kariakoo?
Huu ni wizi ambao umekuja kwa gia ya maelekezo kwamba wanaita eti ni miamala batili, ndio mana wanaifyeka. Nini shida? Sheria gani hiyo na kwanini?
Hujui Samia na Makonda wanatakiwa kununua magari ya kifahari kama Rolls Royce na Bentley?Sisi Mawakala wa kutuma na kuweka fedha kwa njia ya simu hasahasa hizi kampuni mbili pendwa hapa nchini najua mtakuwa mmeshazifahamu, tuna kilio chetu kuhusu kampuni za simu, hizo mbili zinatukata kuanzia Asilimia 10 hadi 20 ya commission tunayostahili kupata kwa kufanya miamala nje ya mkoa.
Yaani wanachokifanya ni kwamba Mawakala wanatakiwa kuhudumia miamala ndani ya mkoa husika ambao wakala yumo, na sio kutuma pesa kwenda nje ya mkoa mwingine.
Hivi tunajiuliza nini maana ya biashara huru? Mtu wa Congo hatakiwi kununua mzigo Kariakoo?
Huu ni wizi ambao umekuja kwa gia ya maelekezo kwamba wanaita eti ni miamala batili, ndio mana wanaifyeka. Nini shida? Sheria gani hiyo na kwanini?
Eti mitandao pendwa,Bure kabisa,huyu ndo unwwmbie ajitokeze kupigania katiba mpya,ataweza kweli?Watz waoga sana Bado ni Anonymous lakini huwezi kutaja ni mitandao gani?
Achaga ushamba na wewe,mtu yupo kkoo akipokea hela toka Mbeya shida Iko wapi?Unatumaje hela nje ya mkoa wakati mteja anapaswa kuwa hapo?
Achaga ushamba na wewe,mtu yupo kkoo akipokea hela toka Mbeya shida Iko wapi?