Otete Joseph
New Member
- May 19, 2024
- 3
- 6
Kuna kampuni ya kutoa mikopo mitandaoni inatumia majina ya "USTAWI LOAN, HAKIKA LOAN, YOYO PESA na BOBA CASH wanatoa viwango vya mikopo tofauti na wanachokitangaza mitandaoni. Mfano, kwenye app yao Facebook wanatangaza kwamba mkopo wao unaanzia 50,000/= na kuendelea ila ukiomba wanakupa 32,000/= na kukutaka wewe uwarejeshee 50,000/= ndani ya siku saba.
Hata hivyo, siku ya nne tu wanaanza kukudai kwa vitisho kwamba ulipe 50,000/= au wakutangaze mitandaoni kwamba wewe ni tapeli na waanike vielelezo vyako ulizotumia kukopa ikiwepo kitambulisho chako cha NIDA na picha yako.