Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Aug 27, 2012 #41 Kaizer said: Kaunga mambo? Click to expand... Hommie Kaizer, mwenyekiti yuko kazini au maslahi binafsi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaizer said: Kaunga mambo? Click to expand... Hommie Kaizer, mwenyekiti yuko kazini au maslahi binafsi?
Kurzweil JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 6,622 Reaction score 8,427 Aug 27, 2012 #42 Jana nimewangoja karibu siku nzima ile nimetoka kwenda kuchek Man city na Liverpool, kumbe wamepita home na mlango nilikua nimefunga. Cha ajabu Geti limepigwa tik na chaki.
Jana nimewangoja karibu siku nzima ile nimetoka kwenda kuchek Man city na Liverpool, kumbe wamepita home na mlango nilikua nimefunga. Cha ajabu Geti limepigwa tik na chaki.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Aug 27, 2012 #43 PakaJimmy said: Mimi niko safarini na kwangu sijaacha mtu. Naikosa sensa bila kupenda. Click to expand... nyie ndo mnaharibu kalkulesheni.....ona sasa....hatutabalansi kwa style hii.....ungejitahidi uhesabiwe ule usiku wa kuamkia sensa kama mimi.....
PakaJimmy said: Mimi niko safarini na kwangu sijaacha mtu. Naikosa sensa bila kupenda. Click to expand... nyie ndo mnaharibu kalkulesheni.....ona sasa....hatutabalansi kwa style hii.....ungejitahidi uhesabiwe ule usiku wa kuamkia sensa kama mimi.....
Chimemena JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,376 Reaction score 454 Aug 27, 2012 #44 Kuna mzee hapa kwetu kakasirika sana kisa, makarani wa sensa wamemwuliza umeoa wakati yeye ni IMPOTENCE?
Kuna mzee hapa kwetu kakasirika sana kisa, makarani wa sensa wamemwuliza umeoa wakati yeye ni IMPOTENCE?