GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili tafadhali.
2. Mheshimiwa Kamishina, gharama ya kutoa copy katika Stationeries zinazoangaliana na Jengo la Uhamiaji Kurasini (ambazo nimeambiwa kuwa nyingi kama siyo zote) ni za Watendaji wa Uhamiaji si tu ni kubwa bali ni za ukatili na kukomoana.
Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji, sehemu zote nchini Tanzania gharama ya kutoa copy ni Tsh 100/= kwa page na kuna sehemu zingine ni Tsh. 50/= ila katika Stationeries za hapo nje ya Ofisi za Uhamiaji Kurasini ni Tsh. 500/= kwa kurasa (page) moja, kwanini? Nani kawaambia wamiliki wa hizo stationeries kuwa kila anayekuja kupata huduma ya passport hapo ni tajiri?
Hivi wenye hizo stationeries wana hofu na Mwenyezi Mungu kweli? Tafadhali Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji na wa pale Uhamiaji Kurasini hebu liangalie hili na ulizuie ili huduma ya kutoa copy iwe ni rafiki hata kwa sisi Masikini akina GENTAMYCINE.
3. Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji na wa hapo Kurasini kuna huu uhuni na upuuzi unafanywa na hao Askari wa JKT na Polisi tena wakiwa wakavu kabisa.
Mheshimiwa Kamishina ukienda tu Ofisi za Uhamiaji Kurasini pale ukiwa na begi ambalo unalimudu kuingia nalo ndani (baada ya k`usachiwa) na kukaa nalo hao Askari wa hapo getini kwa makusudi wanakukataza usiingie nalo ndani bali ukaliweke nje katika maduka (stationeries) kadhaa wenye kujuana nao kisha ukihifadhi hapo unatozwa Tsh. 1,000/=. kisha Jioni ofisi zikifungwa wanakimbilia katika stationeries baadhi (walizokula nao dili) na kuchukua mgao wao wa pesa.
Niliyoyaandika yarekebishwe upesi.