bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Hakuna mahali copy kwa sh 500 labda ya rangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wakuu wote wa Ulinzi na Usalama wameondoka (kustaafu/kutenguliwa) lakini huyu YUMO tu. Huenda kinachombeba ni kwasababu yeye ni.........
Anyway ngoja ninyamaze tu
Watuendeshee pia Polisi, na taasisi za mahakama, TRA nkMkuu hivi wale DP hawawezi kweli kutuendeshea uhamiaji,maana sisi ndio kama hivyo atuwezi kujiendesha,mtu akipata cheo anataka kuwa Mungu mtu na kuwaanyosha watanzania wenzake
Nincompoop.Shilingi 500 unalalamika ndio utaweza kwenda nje kweli huko ughaibuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ukawe destute person uitie aibu nchi yetu.
Stationary ni biashara binafsi ambazo zinamilikiwa na wjasiriamali wa nchi hii ambao huruhusiwa kupanga bei kutokana na nguvu ya soko au uliona zinamilikiwa na serikari?
Mbona chakula kinachouzwa Mwananyamara hakina bei sawa na kempisk na haulalamiki?
Unaposema ni Stationary zinamilikiwa na maafisa, je una ushahidi na malalamiko yako?
Je? Sheria haiwaruhusu?
Au wamevunja sheria gani?
Wale unawaona getini sio JKT Wala polisi ni maafisa uhamiaji ila wapo na uniform tofauti.
Au hujui uniform za majeshi ya nchi hii achilia mbali za uhamiaji?
Unaingia na mizigo kwani umesikia ni stendi pale?
Kuwa smart na fata kilichokupeleka.
N.B Mtambulishe kwa cheo chake KAMISHNA JENERALI na sio Kamishna.
Au hujui tofauti ya hayo maneno mawili?
Labda kapigwaHakuna mahali copy kwa sh 500 labda ya rangi
Walimuona Sio mzoefu wa mambo ya kopyLabda kapigwa
Wanasumbua mpk uwe na mkono mrefu yaani within a day unapata bila maswaliSitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
Sitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahSitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyie ya DP World hamkulalamika JF?
Kuna Mmoja wa Kishoka ni Mchezaji Mpira mkubwa tu initials za Majina yake ni OM. Huyu Kacheza Ligi Kuu ya Zanzibar na hapa Tanzania akiwa na aliyskuwa Beki wa zamani wa Yanga SC aitwae Benito John.Umesahau kubwa zaidi ni vishoka....vishoka wanatamba hao na wamekamata Hilo jengo kuanzia reception, kuhojiwa ,picha etc....
Acheni kunilazimisha Niwadharau na Niwaite Wapumbavu halafu mkasirike sawa?Hakuna mahali copy kwa sh 500 labda ya rangi