Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Niliwah kwenda kupiga picha, then kijana mmoja akafaint pale nje ya geti, wanamuangalia tu[emoji35]

Nikawafata pale getini nikawaambia wamuite nurse au doctor wa kituo tusaidiane dogo aliye faint aende hospitali,, kmmk mbwa wale wakajibu hayawahusu. Nikafanya first aid nikaita bajaji tukampeleka barracks hospital.

Kesho yake narudi boya mmoja aliyekuwa pale getini ananiuliza iliendeleaje,, nilimkata jicho nikaingia, ndani,, ni wapuuzi mno
 
Huyo Boya aliyekuuliza Mgonjwa ambaye hawakumjali anaendeleaje angeniuliza hivyo Mimi kwa ninavyojijua na Majibu yangu muda huu ningekuwa napangiwa Zamu ya Kulima na Kukata Magogo Maporini nikiwa Gerezani Segerea au Ukonga kama si Keko.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daaah yani nisawa uende hospital y mwimbili kisha ukalalamikie yale maduka y DAWA kule nje mbona dawa bei kubwa.ss hao muhimbili wafanyeje?.Pia kwani lazima utolee pale copy?
Kamishina fanya kazi zako kwa umakini nakukubali mnooo.
 
Shilingi 500 unalalamika ndio utaweza kwenda nje kweli huko ughaibuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ukawe destute person uitie aibu nchi yetu.

Stationary ni biashara binafsi ambazo zinamilikiwa na wjasiriamali wa nchi hii ambao huruhusiwa kupanga bei kutokana na nguvu ya soko au uliona zinamilikiwa na serikari?

Mbona chakula kinachouzwa Mwananyamara hakina bei sawa na kempisk na haulalamiki?

Unaposema ni Stationary zinamilikiwa na maafisa, je una ushahidi na malalamiko yako?
Je? Sheria haiwaruhusu?
Au wamevunja sheria gani?

Wale unawaona getini sio JKT Wala polisi ni maafisa uhamiaji ila wapo na uniform tofauti.
Au hujui uniform za majeshi ya nchi hii achilia mbali za uhamiaji?

Unaingia na mizigo kwani umesikia ni stendi pale?
Kuwa smart na fata kilichokupeleka.

N.B Mtambulishe kwa cheo chake KAMISHNA JENERALI na sio Kamishna.
Au hujui tofauti ya hayo maneno mawili?
Hii ni personal attack mkuu 😊 jibu hoja mkuu....

Tujikite kwenye hoja....Kwa Sasa ni hayo tu...

Tunapo Anza mara kempiski mara mwananyamala hatukuelewi elewi mkuu.....
 
Kama DP world wanaweza kubinafsishiwa Uhamiaji itakuwa powa tu tena wakaanzie Uhamiaji Arusha biashara ya paspoti hususan za muda mfupi imeshamiri, DP world wakiilamba Uhamiaji Arusha kazi ikienda vzr ndio wachukue Uhamiaji mikoa mingine.
 
1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili tafadhali.

2. Mheshimiwa Kamishina, gharama ya kutoa copy katika Stationeries zinazoangaliana na Jengo la Uhamiaji Kurasini (ambazo nimeambiwa kuwa nyingi kama siyo zote) ni za Watendaji wa Uhamiaji si tu ni kubwa bali ni za ukatili na kukomoana.

Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji, sehemu zote nchini Tanzania gharama ya kutoa copy ni Tsh 100/= kwa page na kuna sehemu zingine ni Tsh. 50/= ila katika Stationeries za hapo nje ya Ofisi za Uhamiaji Kurasini ni Tsh. 500/= kwa kurasa (page) moja, kwanini? Nani kawaambia wamiliki wa hizo stationeries kuwa kila anayekuja kupata huduma ya passport hapo ni tajiri?

Hivi wenye hizo stationeries wana hofu na Mwenyezi Mungu kweli? Tafadhali Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji na wa pale Uhamiaji Kurasini hebu liangalie hili na ulizuie ili huduma ya kutoa copy iwe ni rafiki hata kwa sisi Masikini akina GENTAMYCINE.

3. Mheshimiwa Kamishina wa Uhamiaji na wa hapo Kurasini kuna huu uhuni na upuuzi unafanywa na hao Askari wa JKT na Polisi tena wakiwa wakavu kabisa.

Mheshimiwa Kamishina ukienda tu Ofisi za Uhamiaji Kurasini pale ukiwa na begi ambalo unalimudu kuingia nalo ndani (baada ya k`usachiwa) na kukaa nalo hao Askari wa hapo getini kwa makusudi wanakukataza usiingie nalo ndani bali ukaliweke nje katika maduka (stationeries) kadhaa wenye kujuana nao kisha ukihifadhi hapo unatozwa Tsh. 1,000/=. kisha Jioni ofisi zikifungwa wanakimbilia katika stationeries baadhi (walizokula nao dili) na kuchukua mgao wao wa pesa.

Niliyoyaandika yarekebishwe upesi.
Hili linapaswa kuwa dokezo kabisa hili.

Moderator
 
Ndio maana bima za afya zimetoa bei elekezi Kwa Kila DAWA except Kwa zile dawa ambazo hazipo kwenye bima.........

Ie. Huwezi ku quote bei yako mwenyewe kwenye Bima hio ni example....

Ila ukienda Kwa kutumia cash unaweza kupigwa pesa ndefu ni sawa na udalali wowote ambao mtu anaweza ku ufanya.......
Daaah yani nisawa uende hospital y mwimbili kisha ukalalamikie yale maduka y DAWA kule nje mbona dawa bei kubwa.ss hao muhimbili wafanyeje?.Pia kwani lazima utolee pale copy?
Kamishina fanya kazi zako kwa umakini nakukubali mnooo.
 
Maswala ya steshenari analalamikiwa kamishna wa uhamiaji
Nadhani watanzania tujue nan wa kumlalamikia kwa shida zetu. Copy mlalamikie mtu wa steshenari maswala ya kiofisi lalamikia uhamiaji. Unadhani kamishna wa uhamiaji atatoa mongozo wa bei kwa hao wafanyabiashara?

Ushauri kwako.
Copy toa mbali kidogo na hizo steshenary zinazotazama jengo la uhamiaji. Ukifanya hvyo na wengne hivyo kwa muda wa wiki moja watashusha bei wenyeweee.

Kama kiusalama wao wanaona si vizuri kuingia na mafurushi ofisini ni wewe sasa kuacha mizigo yako nyumbani ama sehemu nyingne salama na pasipo na malipo

Magereza au eneo la magereza tukienda kusalimu ndugu au jamaa waliofungwa au kungoja hukumu zao hatutakiwi kuwa na simu maeneo yale na tunatii na hatulalamiki zaidi zaid simu tanaacha nyumbani au tunaziacha sehemu nyingine za mbali na maeneo ya magereza.

TUJIFUNZE KUPUNGUZA MALALAMIKO
Hasa yasiyo na tija
 
Watanzania tumezoea kulalamika vitu hadi vya ajabuu. Kama ndugu yetu anamlalamikia kamishna wa uhamiaji kwa bei kubwa ya copy sijui tumekuwajeee
 
Niliwah kwenda kupiga picha, then kijana mmoja akafaint pale nje ya geti, wanamuangalia tu[emoji35]

Nikawafata pale getini nikawaambia wamuite nurse au doctor wa kituo tusaidiane dogo aliye faint aende hospitali,, kmmk mbwa wale wakajibu hayawahusu. Nikafanya first aid nikaita bajaji tukampeleka barracks hospital.

Kesho yake narudi boya mmoja aliyekuwa pale getini ananiuliza iliendeleaje,, nilimkata jicho nikaingia, ndani,, ni wapuuzi mno
Nimejiuliza sana hapoo kwenye hiyo sentensi.
 
Halafu wakuu wote wa Ulinzi na Usalama wameondoka (kustaafu/kutenguliwa) lakini huyu YUMO tu. Huenda kinachombeba ni kwasababu yeye ni.........

Anyway ngoja ninyamaze tu
Niko maabara nalifanyia hili swala kazi , kama ni kweli basi kuna huduma na sisi ............. tutawanyima
 
Nimejiuliza sana hapoo kwenye hiyo sentensi.
Kwamba you people don't have a nurse or a doctor kwa kituo tena makao makuu[emoji15][emoji15][emoji15],, a person fainted infront of your gate,, like for Real?? Can't lend a helping hand??
 
Uwe.na pesa za maelfu kulipia passport halafu ukose 500 au 1500 ya kutoa photocopy kweli ?
Kwahiyo ukiwa na Pesa ndiyo Ufanyiwe huu Uhuni? Kwahiyo Wote wanaohitaji Pasipoti na Kusafiri Nje ni Matajiri?

Wanaolalamikia Tozo za Miamala ya Simu wote ni Masikini? Hakuna Matajiri / Wenye Uwezo Kiasi waliolilalamikia hili?

Malkia Elizabeth wa Uingereza ( RIP Kwake ) ambaye alikuwa Tajiri na Pesa mara Kumi ( 10 ) ya Bajeti yako mpya ( ya sasa ) ya Tsh 44.39 Trillion ila kila akienda kufanya Shopping yake katika Malls zao alikuwa akitajiwa Bei ya Kitu anaomba Kupunguziwa na Kulalamika kabisa. Je, alishindwa Kununua? Na unajua alikuwa anapanda nini Vichwani mwa Wapumbavu wengi wanaodhani ukiwa Tajiri basi Wewe Kazi yako ni kutumia tu hovyo bila Mipango na Malengo?

Kumbe nikiwa Nakudharau huwa sikosei.
 
Kwamba you people don't have a nurse or a doctor kwa kituo tena makao makuu[emoji15][emoji15][emoji15],, a person fainted infront of your gate,, like for Real?? Can't lend a helping hand??
🤣🤣🤣🤣🤣 TANGANYIKAAAA? TANZANIAAA??
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watanzania tumezoea kulalamika vitu hadi vya ajabuu. Kama ndugu yetu anamlalamikia kamishna wa uhamiaji kwa bei kubwa ya copy sijui tumekuwajeee
Huenda ukawa na Mental Case kubwa ila Wewe na Ndugu zako au Mkeo hujagundua / hamjagundua.
 
Huenda ukawa na Mental Case kubwa ila Wewe na Ndugu zako au Mkeo hujagundua / hamjagundua.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi soon atakuja tanzua hizo changamoto za hao wafanyabiashara unaowalalamikia.
Soon and very soon
 
Sitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.

Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.

Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?

Shenzi sana!
Hatari sana
 
Maswala ya steshenari analalamikiwa kamishna wa uhamiaji
Nadhani watanzania tujue nan wa kumlalamikia kwa shida zetu. Copy mlalamikie mtu wa steshenari maswala ya kiofisi lalamikia uhamiaji. Unadhani kamishna wa uhamiaji atatoa mongozo wa bei kwa hao wafanyabiashara?

Ushauri kwako.
Copy toa mbali kidogo na hizo steshenary zinazotazama jengo la uhamiaji. Ukifanya hvyo na wengne hivyo kwa muda wa wiki moja watashusha bei wenyeweee.

Kama kiusalama wao wanaona si vizuri kuingia na mafurushi ofisini ni wewe sasa kuacha mizigo yako nyumbani ama sehemu nyingne salama na pasipo na malipo

Magereza au eneo la magereza tukienda kusalimu ndugu au jamaa waliofungwa au kungoja hukumu zao hatutakiwi kuwa na simu maeneo yale na tunatii na hatulalamiki zaidi zaid simu tanaacha nyumbani au tunaziacha sehemu nyingine za mbali na maeneo ya magereza.

TUJIFUNZE KUPUNGUZA MALALAMIKO
Hasa yasiyo na tija
Kama Wewe ni Mmoja wa UHAMIAJI Staff hapo Kurasini au pale Wizara ya Mambo ya Ndani Posta basi si tu ni Hasara Kubwa Kiutendaji hapo UHAMIAJI na kwa Taifa, bali pia utakuwa ni Juha ( Imbecile ) tukuka kabisa.
 
Back
Top Bottom