Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usituchanganye na wewe kujifanya mjuaji sasa copy gan ya 500 hata kama n soko huria shameShilingi 500 unalalamika ndio utaweza kwenda nje kweli huko ughaibuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ukawe destute person uitie aibu nchi yetu.
Stationary ni biashara binafsi ambazo zinamilikiwa na wjasiriamali wa nchi hii ambao huruhusiwa kupanga bei kutokana na nguvu ya soko au uliona zinamilikiwa na serikari?
Mbona chakula kinachouzwa Mwananyamara hakina bei sawa na kempisk na haulalamiki?
Unaposema ni Stationary zinamilikiwa na maafisa, je una ushahidi na malalamiko yako?
Je? Sheria haiwaruhusu?
Au wamevunja sheria gani?
Wale unawaona getini sio JKT Wala polisi ni maafisa uhamiaji ila wapo na uniform tofauti.
Au hujui uniform za majeshi ya nchi hii achilia mbali za uhamiaji?
Unaingia na mizigo kwani umesikia ni stendi pale?
Kuwa smart na fata kilichokupeleka.
N.B Mtambulishe kwa cheo chake KAMISHNA JENERALI na sio Kamishna.
Au hujui tofauti ya hayo maneno mawili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usituchanganye na wewe kujifanya mjuaji sasa copy gan ya 500 hata kama n soko huria shame
Pamoja na Kunichukia kote GENTAMYCINE hapa JamiiForums na Kutwa Kunitukana na Kunidhalilisha kwa kila namna huku Mkinidharau lakini bado tu Kila Siku ( 24/7 ) hamuachi Kufungua Threads zangu na Kuzichangia vile vile na kuacha kabisa Kuwafuatilia wale mnaowaona ni bora zaidi yangu hapa Jamvini JamiiForums.Jamaa kaandika Ujinga tupu eti inabidi uite sijui kamisheni jenerali, siyo jenerali kwani akiita ivyo kuna nini? Toa hoja kenge maji wewe
Sawa Masikini Mwenzangu Tukuka.afadhari umelijua hili mapema.
Sasa kama hujui Mambo ya Usalama kwanini Unashoboka kwa kuwa na Kiherehere kama Makahaba wa Meeda Bar Sinza?Hayo ni mambo ya usalama ambayo hata Mimi siyajui
Pamoja na Kunichukia kote GENTAMYCINE hapa JamiiForums na Kutwa Kunitukana na Kunidhalilisha kwa kila namna huku Mkinidharau lakini bado tu Kila Siku ( 24/7 ) hamuachi Kufungua Threads zangu na Kuzichangia vile vile na kuacha kabisa Kuwafuatilia wale mnaowaona ni bora zaidi yangu hapa Jamvini JamiiForums.Mwenyewe huna akili kaz kulialia sehemu zisizo sahihi
Mbona Wewe unavyobandikwa Mimba mara kwa mara tofauti na Wenzako hulalamiki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakula kinachopikwa Kimara wali maharage haizidi elfu 2 ila kinachopikwa Kempisk kitazidi elfu 5.
Mbona hamlalamiki?
Hujawahi Kumiliki Akili tokea ujiunge JF.Halafu mibegi unaibeba kwenye ofisi za watu ya nini kwani pale ni kituo cha mabasi yaendayo.mikoani? Unasumbua watu bure ningekuwa mimi.ningepiga marufuku kuwa huruhisiwi kukanyaga na begi ofisi ya uhamiaji mibegi baki nayo kwenu
Kwa sababu sijuiSasa kama hujui Mambo ya Usalama kwanini Unashoboka kwa kuwa na Kiherehere kama Makahaba wa Meeda Bar Sinza?
Mimi ni dumeMbona Wewe unavyobandikwa Mimba mara kwa mara tofauti na Wenzako hulalamiki?
Ni upumbavu sana kumnyima Raia wako Passport wakati ni hitaji la msingi sana. Mtu akizaliwa anatakiwa awe na Cheti cha kuzaliwa, Bima ya afya, Tin namba, Kitambulisho cha Uraia na hiyo pasport.Sitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
Copy wakati wa passport huwa ni ya nini?watanzania ni watu wa ajabu sana wanapenda sana kutumia shida za watu kujiingizia kipato kisicho halali
mfano hapo kwenye kopi ya tsh 100 wao wanafanya tsh 500 na wanajua watawapata wengi,ujinga huo huo ulikuwepo Police pale ukienda kutafuta loss report
nchi imejaa laana hii watu wanawanyonya watu pesa isiyo halali na ndio mana shida haziishi 😎
Unaidharau Kozi ya Uandishi wa Habari na hapo hapo Kutwa unasikiliza BBC Dira ya Dunia, Amka na BBB, DW, Unatizama Al Jazeera, CNN, ITV na Azam Tv huku Ukisoma Magazeti ya Mwananchi, Nipashe na Habari Leo na hapo hapo ukiwa ni Bingwa wa kutizama Mpira hasa EPL na nyinginezo.Mimi ni dume
Kijana jiangalie tubase kwenye mada ya kiutopolo uliyoileta na sio kutukanana.
Akili kisoda utamjua tu, ndio maana umesomea uandishi wa habari halafu unajiona una akili.
Kozi ya kike kumbaf
Siyo kwa Tanzania ambako 85% ya Watendaji wake ( hasa walioko ) katika Vitengo na Idara mbalimbali Serikalini ni Fools ( Wapumbavu ) mno.Ni upumbavu sana kumnyima Raia wako Passport wakati ni hitaji la msingi sana. Mtu akizaliwa anatakiwa awe na Cheti cha kuzaliwa, Bima ya afya, Tin namba, Kitambulisho cha Uraia na hiyo pasport.
Mi nazani Watanzania wengi hatupendani kwa sababu ya Umasikini wetu uliotujaa,kila Mtu anamuona mwenzake Kama fursa ya kutoka Kiuchumi,hadi ma Dakitari anasubiri uumwe ili akupige charge kubwa ya kukutibia!!Ukweli ni kuwa tu watanzania hatupendani ndiyo mana unafk mwingi na hilo ndilo viongozi wengi wanalo litumia kutunyoosha hasa!
Bongo wanaona kuwa na passport ni anasa au ni kwa ajili ya wa watu fulani tu, akili zetu zimelala sanaSitamani kurudi uhamiaji pale. Walininyima passport bila sababu za msingi.
Waliniuliza sababu ya kuomba passport, nikawaambia nataka kutalii. Wakaniambia nilete barua ya mwaliko.
Sasa watalii wanaalikwa?
Wazungu wakiingia nchini wanakua na barua za mwaliko?
Shenzi sana!
Tunaomba Ufafanuzi hapo uliposema kuwa ukienda na Gari hapo UHAMIAJI Wizara ya Mambo ya Ndani huwa Hukaguliwi na je, Mimi GENTAMYCINE na huu Umasikini wangu Tukuka nikienda na Baiskeli yangu aina ya Direla sitokaguliwa kama Wewe?Copy wakati wa passport huwa ni ya nini?
anyway pale Mambo ya Ndani wako straight forward.
Hata hayo mambo yakukaguliwa mabegi sio kihivyo.
Nimeingia pale mara nyingi bila ukaguzi wowote hasa ukienda na gari. Sijawahi kukaguliwa.
Sijui kwa kweli, nimewahi kwenda Uhamiaji kurasini Mara moja tu.Tunaomba Ufafanuzi hapo uliposema kuwa ukienda na Gari hapo UHAMIAJI Wizara ya Mambo ya Ndani huwa Hukaguliwi na je, Mimi GENTAMYCINE na huu Umasikini wangu Tukuka nikienda na Baiskeli yangu aina ya Direla sitokaguliwa kama Wewe?