Kamshina wa Uhamiaji Makakala, tafadhali kataza upesi mambo haya yanaofanyika Ofisi za Uhamiaji Kurasini

Halafu mibegi unaibeba kwenye ofisi za watu ya nini kwani pale ni kituo cha mabasi yaendayo.mikoani? Unasumbua watu bure ningekuwa mimi.ningepiga marufuku kuwa huruhisiwi kukanyaga na begi ofisi ya uhamiaji mibegi baki nayo kwenu
 
Hii nchi ,tatizo njaa.Kwa akili zao watu wanaoomba Passport basi wanahela.Ndo wanaamua kuweka bei kali kali.Maana hakuna jinsi ,lazima mtahitaji huduma zao.Ni sawa na bei za dawa maduka yaliyopo karibu na Muhimbili.
 
Usituchanganye na wewe kujifanya mjuaji sasa copy gan ya 500 hata kama n soko huria shame
 
Usituchanganye na wewe kujifanya mjuaji sasa copy gan ya 500 hata kama n soko huria shame
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakula kinachopikwa Kimara wali maharage haizidi elfu 2 ila kinachopikwa Kempisk kitazidi elfu 5.

Mbona hamlalamiki?
 
Jamaa kaandika Ujinga tupu eti inabidi uite sijui kamisheni jenerali, siyo jenerali kwani akiita ivyo kuna nini? Toa hoja kenge maji wewe
Pamoja na Kunichukia kote GENTAMYCINE hapa JamiiForums na Kutwa Kunitukana na Kunidhalilisha kwa kila namna huku Mkinidharau lakini bado tu Kila Siku ( 24/7 ) hamuachi Kufungua Threads zangu na Kuzichangia vile vile na kuacha kabisa Kuwafuatilia wale mnaowaona ni bora zaidi yangu hapa Jamvini JamiiForums.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa Kuniumba na Nyota Kali ( Natural Charm ) huku Ukinibariki na Shani ( Tunu ) zangu Kuu Nne Tukuka za "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" zinazowatesa Wapumbavu na Watu wanaoteswa na Stress za Msoto wa Majsha wanaoupitia sasa wakidhani Kunichukia Kwao ndiyo Nafuu Kwao wakati bado cha Moto wanakiona na naomba uendelee Kuwanyoosha hadi Umauti utakapowakuta.
 
Hayo ni mambo ya usalama ambayo hata Mimi siyajui
Sasa kama hujui Mambo ya Usalama kwanini Unashoboka kwa kuwa na Kiherehere kama Makahaba wa Meeda Bar Sinza?
 
Mwenyewe huna akili kaz kulialia sehemu zisizo sahihi
Pamoja na Kunichukia kote GENTAMYCINE hapa JamiiForums na Kutwa Kunitukana na Kunidhalilisha kwa kila namna huku Mkinidharau lakini bado tu Kila Siku ( 24/7 ) hamuachi Kufungua Threads zangu na Kuzichangia vile vile na kuacha kabisa Kuwafuatilia wale mnaowaona ni bora zaidi yangu hapa Jamvini JamiiForums.

Asante sana Mwenyezi Mungu kwa Kuniumba na Nyota Kali ( Natural Charm ) huku Ukinibariki na Shani ( Tunu ) zangu Kuu Nne Tukuka za "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" zinazowatesa Wapumbavu na Watu wanaoteswa na Stress za Msoto wa Majsha wanaoupitia sasa wakidhani Kunichukia Kwao ndiyo Nafuu Kwao wakati bado cha Moto wanakiona na naomba uendelee Kuwanyoosha hadi Umauti utakapowakuta.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chakula kinachopikwa Kimara wali maharage haizidi elfu 2 ila kinachopikwa Kempisk kitazidi elfu 5.

Mbona hamlalamiki?
Mbona Wewe unavyobandikwa Mimba mara kwa mara tofauti na Wenzako hulalamiki?
 
Halafu mibegi unaibeba kwenye ofisi za watu ya nini kwani pale ni kituo cha mabasi yaendayo.mikoani? Unasumbua watu bure ningekuwa mimi.ningepiga marufuku kuwa huruhisiwi kukanyaga na begi ofisi ya uhamiaji mibegi baki nayo kwenu
Hujawahi Kumiliki Akili tokea ujiunge JF.
 
Mbona Wewe unavyobandikwa Mimba mara kwa mara tofauti na Wenzako hulalamiki?
Mimi ni dume
Kijana jiangalie tubase kwenye mada ya kiutopolo uliyoileta na sio kutukanana.

Akili kisoda utamjua tu, ndio maana umesomea uandishi wa habari halafu unajiona una akili.

Kozi ya kike kumbaf
 
Ni upumbavu sana kumnyima Raia wako Passport wakati ni hitaji la msingi sana. Mtu akizaliwa anatakiwa awe na Cheti cha kuzaliwa, Bima ya afya, Tin namba, Kitambulisho cha Uraia na hiyo pasport.
 
Copy wakati wa passport huwa ni ya nini?
anyway pale Mambo ya Ndani wako straight forward.
Hata hayo mambo yakukaguliwa mabegi sio kihivyo.

Nimeingia pale mara nyingi bila ukaguzi wowote hasa ukienda na gari. Sijawahi kukaguliwa.
 
Mimi ni dume
Kijana jiangalie tubase kwenye mada ya kiutopolo uliyoileta na sio kutukanana.

Akili kisoda utamjua tu, ndio maana umesomea uandishi wa habari halafu unajiona una akili.

Kozi ya kike kumbaf
Unaidharau Kozi ya Uandishi wa Habari na hapo hapo Kutwa unasikiliza BBC Dira ya Dunia, Amka na BBB, DW, Unatizama Al Jazeera, CNN, ITV na Azam Tv huku Ukisoma Magazeti ya Mwananchi, Nipashe na Habari Leo na hapo hapo ukiwa ni Bingwa wa kutizama Mpira hasa EPL na nyinginezo.

Je, bila Uandishi wa Habari vyote hivi Ungevisikiliza na Kuvitizama? Uingereza ( nchi iliyokutawala na kujitahidi Kukupunguzia Ujinga ulionao ) Watu ambao Wanaongoza kwa Kulipwa vizuri Mishahara ni Waandishi wa Habari kisha wanafuatia Manesi.

Na usisahau katika nchi yetu ( Tanzania ) ukiondoa Nguzo Kuu andamizi Tatu za Executive, Judiciary and Parliament na yangu ya Media nayo imo ikiwa ni ya Nne. Je, Wewe Fani ( Profession ) yako ni Nguzo ( Pillar ) namba ngapi nchini?

Pumbavu.
 
Ni upumbavu sana kumnyima Raia wako Passport wakati ni hitaji la msingi sana. Mtu akizaliwa anatakiwa awe na Cheti cha kuzaliwa, Bima ya afya, Tin namba, Kitambulisho cha Uraia na hiyo pasport.
Siyo kwa Tanzania ambako 85% ya Watendaji wake ( hasa walioko ) katika Vitengo na Idara mbalimbali Serikalini ni Fools ( Wapumbavu ) mno.
 
Ukweli ni kuwa tu watanzania hatupendani ndiyo mana unafk mwingi na hilo ndilo viongozi wengi wanalo litumia kutunyoosha hasa!
Mi nazani Watanzania wengi hatupendani kwa sababu ya Umasikini wetu uliotujaa,kila Mtu anamuona mwenzake Kama fursa ya kutoka Kiuchumi,hadi ma Dakitari anasubiri uumwe ili akupige charge kubwa ya kukutibia!!
 
Bongo wanaona kuwa na passport ni anasa au ni kwa ajili ya wa watu fulani tu, akili zetu zimelala sana
 
Copy wakati wa passport huwa ni ya nini?
anyway pale Mambo ya Ndani wako straight forward.
Hata hayo mambo yakukaguliwa mabegi sio kihivyo.

Nimeingia pale mara nyingi bila ukaguzi wowote hasa ukienda na gari. Sijawahi kukaguliwa.
Tunaomba Ufafanuzi hapo uliposema kuwa ukienda na Gari hapo UHAMIAJI Wizara ya Mambo ya Ndani huwa Hukaguliwi na je, Mimi GENTAMYCINE na huu Umasikini wangu Tukuka nikienda na Baiskeli yangu aina ya Direla sitokaguliwa kama Wewe?
 
Sijui kwa kweli, nimewahi kwenda Uhamiaji kurasini Mara moja tu.

Ila mara nyingine zote nimeenda pale Mambo ya Ndani hawana mambo mengi.

Ukiingia pale maingate kuna askari police wanaofungua geti kwa remote.
Ukiingia na Begi utalipitisha kwenye ile scanner yao upande wako wa kulia. Na utaendelea na mambo yako.
Pale mlango wa uhamiaji utajaza lile daftari lao basi.

Kwa kweli hakuna mambo mengi pale.

Ila bado hujanijibu kitu, hizo photocopy kwenye kuchukua/kulipia/kuprocess passport huwa ni kwa ajili ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…