Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

Habari wadau.

Natafuta Kamusi teule ya Kiswahili soft copy PDF.

Hii ni kamusi ya Kenya bila shaka.
Mwenye kuweza hata kunipa Link ya kupakua
itakuwa vizuri tu.
 
Msaada mwenye kujua maana ya "kutohoa" tafadhali

It's usually translated as "adapt" or "modify". In linguistics, when borrowing words from foreign languages, BAKITA uses the term "kutohoa maneno" meaning the adaptations in spelling, class (ngeli) and conjugation (unyambulisho) that are needed in order to use that word.
Kwa mfano, neno "store" la Kiingereza limetoholewa kwa Kiswahili kama "stoo", ikiwekwa katika ngeli ya i-/zi-. (Source: MobiTUKI Kamusi app).
 
Asante sn mary
 
WanaJF wote

kama wale tunaopenda Kamusi ya TUKI Kiingereza-Kiswahili / Kiswahili-Kiingereza, inapatikana app ya bure inayofanya kazi offline (huhitaji data) kwenye simu na kompyuta za aina zote. Msihangaike tena na PDF ama soft copy hizo za zamani!

Pakua/tumia APP YA KAMUSI TUKI HAPA
Android+iPhone+Windows
👇
swahili-dictionary.com


Kwa kui-install, bonyeza menyu kwenye browser yako, kisha "Install app".
  • App inafanya kazi offline. Ukiisha install, huhitaji kutumia MB tena.
  • App hii ni bure kabisa.
  • Haina matangazo (ads).
  • Unaweza kupata vitomeo kwa kutafuta kichwa cha kitomeo ama vinyambuo vyake vyovyote (derivative words).

Kamusi ya TUKI ni kamusi kuu ya Kiingereza-Kiswahili na Kiswahili-Kiingereza. Imetengenezwa na wataalamu wa lugha wa Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili (TUKI) University of Dar es Salaam, Tanzania.

Kamusi ya Kiswahili-Kiingereza:
  1. Ina vitomeo (entries) zaidi ya 15,000
  2. Inaeleza asili (etimolojia) ya maneno ya Kiswahili
  3. Ina mifano, misemo, nahau, vinyambulisho.
Kamusi ya Kiingereza-Kiswahili:
  1. Idioms and phrases
  2. Technical words
  3. Thousands of examples
  4. Variants for British, American, Australian and South African English.

Some screenshots:

 
Mm nahitaji
 
uko wapi mzungu mbona hutumi
 
ambae ana kamusi ya KISWAHILI-KISWAHILI pdf msaada tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…