OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
unataka kubostiwa?Kuna habari na hamasa , tulipo tunahitaji mtu Wa hamasa
Hamasa ni ushindi tu. Hamna kitu kama hicho eti mtu wa hamasa. Hamasa ya nini? Kama unaipenda team utaenda kama unataka wa kuhamasisha mfuate utakapomuona. Nan anakuhamasisha kuangalia matches za Man U au Kununua Jersey zake ?Kuna habari na hamasa , tulipo tunahitaji mtu Wa hamasa
Umeongea point sana mkuu[emoji122][emoji122]Hamasa ni ushindi tu. Hamna kitu kama hicho eti mtu wa hamasa. Hamasa ya nini? Kama unaipenda team utaenda kama unataka wa kuhamasisha mfuate utakapomuona. Nan anakuhamasisha kuangalia matches za Man U au Kununua Jersey zake ?
Hamasa tunawaachia Vibwengo FCKuna habari na hamasa , tulipo tunahitaji mtu Wa hamasa
Kuna habari na hamasa , tulipo tunahitaji mtu Wa hamasa