OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tunaandaa mkakati wa mawasiliano wa klabu ambao utatusaidia kuhakikisha wana Simba wanapata taarifa kwa haraka kila wakati.
Huko tunapokwenda inatakiwa Simba hata ikiwa na afisa habari bubu mambo yanaenda. Unaingia kwenye mtandao unapata taarifa rasmi.
Mwisho wa siku mtu muhimu kuzungumza kwenye klabu ni kocha hasa pale mashindano yakianza, sasa afisa habari unataka kuzungumza kila siku utoe taarifa gani?
Amenukuliwa Kamwaga