Riz king
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 276
- 549
Kamwaga na usomi wako leo hii unalaumu Yanga kuvujisha jezi za Simba. Usuri wetu haupo kwa kuwakaribisha watu wa hovyo type ya kina mwijaku ndani ya klabu yetu hususan mambo ya Jezi.
Wewe unaleta drama za kuisema Yanga bila kujua unawapa credit hawa utopolo. Masnitch tunao sisi kwa sisi. Kaeni tukaguane ndani ya klabu, huenda ni janja janja za huyu mbongo fleva vunja bei ili aingize mzigo wa jezi feki maana stail ya kupiga hela anaijua.
Viongozi wangu mtazameni sana Vunja bei na kikundi chake maana nahisi harufu ya jezi feki kwa kisngzio kuwa zlvuja mapema watu wakapiga copy. Nasisitiza akina mwijaku waangalieni sana na tuache kuwapa lawama utopolo kwan jezi zetu hazitunzwi huko mafurikoni Jangwani