changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Naomba unielimishe mkuu, kwani Vunja bei kama ni kweli ameingiza jezi fake ili auze elfu 5 kama unavyosema hii inaiathiri vipi simba?
Maana ninachojua mimi ni kuwa Vunjabei ana kandarasi ya 2b kutengeneza jezi ambazo ameilipa Simba, sasa akiuza elfu 5 au elfu 2 hiyo ni juu yake maana ameishamalizana na club tayari, sasa hivi anachotafuta ni kurudisha pesa yake tu
Mkataba wa Vunja bei na Simba inamaana hauna vigezo na masharti? Akitengeneza jezi zisizo na ubora ni juu yake. Zikiwa feki ni juu yake ilimradi tu Simba wanapokea bilioni 2?Mkuu, aidha unajitoa ufahamu au wewe ni mpinzani umeamua kuwananga tu Simba
Kwani haujui kuwa Vunja price ana mkataba wa kutengeneza outfit zote za club ya Simba, hata akiamua atengeneze mikoba ya kina mama, mabegi ya mgongoni au ya Safari yenye nembo ya Simba, au akiamua kutengeneza boxer, Chupi, Track suit, Scarfs n.k
Kukujibu swali lako ni kuwa Vunja bei anaweza kutengeneza jezi kwa tani yake anayoipenda maana ana rights zote
Kwa hiyo mkuu hoja yako kama ni hiyo nadhani una chuki tu binafsi na aidha Vunja bei au Simba