Kamwaga umenikera sana leo kuwapa Yanga credit za kijinga

Riz king

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
276
Reaction score
549
Kamwaga na usomi wako leo hii unalaumu Yanga kuvujisha jezi za Simba. Usuri wetu haupo kwa kuwakaribisha watu wa hovyo type ya kina mwijaku ndani ya klabu yetu hususan mambo ya Jezi.

Wewe unaleta drama za kuisema Yanga bila kujua unawapa credit hawa utopolo. Masnitch tunao sisi kwa sisi. Kaeni tukaguane ndani ya klabu, huenda ni janja janja za huyu mbongo fleva vunja bei ili aingize mzigo wa jezi feki maana stail ya kupiga hela anaijua.

Viongozi wangu mtazameni sana Vunja bei na kikundi chake maana nahisi harufu ya jezi feki kwa kisngzio kuwa zlvuja mapema watu wakapiga copy. Nasisitiza akina mwijaku waangalieni sana na tuache kuwapa lawama utopolo kwan jezi zetu hazitunzwi huko mafurikoni Jangwani
 
Hizo za kariakoo kaingiza mwenyewe vunjabei hakuna mwingine
Mjanja sana huyo vunja bei, hawez kuacha buku 5 tano. Sasa anatuletea upuuz wake. Tutambadlkia kama akianza usanii wake. Simba sio hamisa mobeto wala wema sepetu. Ngoja tutajua tu
 
Mjanja sana huyo vunja bei, hawez kuacha buku 5 tano. Sasa anatuletea upuuz wake. Tutambadlkia kama akianza usanii wake. Simba sio hamisa mobeto wala wema sepetu. Ngoja tutajua tu
Naomba unielimishe mkuu, kwani Vunja bei kama ni kweli ameingiza jezi fake ili auze elfu 5 kama unavyosema hii inaiathiri vipi simba?

Maana ninachojua mimi ni kuwa Vunjabei ana kandarasi ya 2b kutengeneza jezi ambazo ameilipa Simba, sasa akiuza elfu 5 au elfu 2 hiyo ni juu yake maana ameishamalizana na club tayari, sasa hivi anachotafuta ni kurudisha pesa yake tu
 
Hata mimi nashangaa mno
 
We ndo huelewi kweli. Kwa hiyo unataka niambia kuwa anaruhusiwa kuchapa jezi anazoztaka yeye ili mrad arudshe tu hela. Akizdsha kuptlza makubaliano atakuwa ni muhujum uchumi kama huelewi mambo ya tenda yalivyo kimkataba
 
Mkuu, aidha unajitoa ufahamu au wewe ni mpinzani umeamua kuwananga tu Simba

Kwani haujui kuwa Vunja price ana mkataba wa kutengeneza outfit zote za club ya Simba, hata akiamua atengeneze mikoba ya kina mama, mabegi ya mgongoni au ya Safari yenye nembo ya Simba, au akiamua kutengeneza boxer, Chupi, Track suit, Scarfs n.k

Kukujibu swali lako ni kuwa Vunja bei anaweza kutengeneza jezi kwa tani yake anayoipenda maana ana rights zote

Kwa hiyo mkuu hoja yako kama ni hiyo nadhani una chuki tu binafsi na aidha Vunja bei au Simba
 
Nasubiri kama ataweza kujibu hii hoja
 
Mashabiki wa mpira wa Tanzania wanashangaza Sana,wanapenda kujadili vitu vidogo vidogo na pia kujadili vitu wasivyovielewa.

Inatakiwa ujifunze kwanza kuhusu masuala ya tenda au zabuni ,Vunja Bei hata akitaka kuuza kwa buku ni juu yake Simba haiusiki ,hata asipouza yeye ndiye atapata hasara Simba haipati hasara ni jukumu la Vunja Bei Kupambana auze jezi nyingi ili arudishe fedha yake .
 
Wajibu wa Vunja bei kwa Simba sc ni kuilipa Simba b2, kuhakikisha anawavalisha wachezaji ......... the rest atajua mwenyewe anarudishaje b2 zake na faid
 
Vunja Bei atajua mwenyewe ,ila tuseme tusilaumu Yanga vunja Bei anavujishaje jezi,inshort huwezi kuamini timu ya vunja Bei kina Mwijaku ,Whozu,Kumbuka,Hamisa ,maana wale kiki ni lazima
 
mwandishi kama hujui maana ya tenda kaa kimya sio kutujazia mistari ya utopolo humu
 
Mjanja sana huyo vunja bei, hawez kuacha buku 5 tano. Sasa anatuletea upuuz wake. Tutambadlkia kama akianza usanii wake. Simba sio hamisa mobeto wala wema sepetu. Ngoja tutajua tu
Mkuu kunywa maji kwanza. tenda ya jezi achukue Vunja Bei povu likutoke wewe. Anachotakiwa kulaumiwa Fred ni kwenye ubora wa jezi tu ila namna ya mauzo risks na rewads zipo kwake. Punguza povu
 
Mkuu kunywa maji kwanza. tenda ya jezi achukue Vunja Bei povu likutoke wewe. Anachotakiwa kulaumiwa Fred ni kwenye ubora wa jezi tu ila namna ya mauzo risks na rewads zipo kwake. Punguza povu
Jamaa apoint

usimchukulie poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…