mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Rais wa clabu ya yanga Eng. Hersi pamoja na makamu wake Arafat Haji wamefanikiwa kumrejesha kazini aliyekua msemaji wa yanga Ali Kamwe katika nafasi yake ya meneja habari na mawasiliano na kumsainisha mkataba mpya wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo. Kamwe alieleza chngamotozake kwa viongozi zolizompelekea yeye kujiuzulu mbele ya uongozi kwa maslahi ya pande zote mbili na wamekubaliana kufanya kazi kwa wakati mwingine kulingana na mkataba huo mpya.