Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Klabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni."
"Kuna vitu vinaendelea kwasababu kuna watu wametumwa kuja kuharibu mipango yetu na wanataka tufanye vibaya kwenye ligi na klabu BINGWA."
"Niwaombe Mashabiki wa Yanga tuungane pamoja na tusiruhusu minon’gono mingi ambayo haina maana yoyote kwetu sisi na niwaambie tu kuwa hatuyumbishwi bado tupo kwenye malengo Yetu na Rais wetu akili yake yote ipo Yanga sasa sijui ni lini mlimuona amechukuwa fomu ya kutaka kuwa Mbunge."
Soma > Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita
==
"kuna kitu kinajaribu kutengenezwa katika klabu yetu amabayo inafananishwa na ndugu wa familia moja ambao wanapishana mitazamo lakini wanasahau kufunga milngo kwa bahati mbaya tumewaruhusu nyoka na wadudu wabaya mbele Yetu na niwaombe mashabiki wenzangu wa Yanga kwanzia sasa tusikibali haya mambo maana watu wanataka kututoa mchezoni ili tufanye vibaya kwenye ligi."
Chanzo: Crown FM