Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwambie aogee chumvi ya maweKlabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni .
Kuna vitu vinaendelea kwasababu kuna watu wametumwa kuja kuharibu mipango yetu na wanataka tufanye vibaya kwenye ligi na klabu BINGWA .
Niwaombe Mashabiki wa Yanga tuungane pamoja na tusiruhusu minon’gono mingi ambayo haina maana yoyote kwetu sisi na niwaambie tu kuwa hatuyumbishwi bado tupo kwenye malengo Yetu na Rais wetu akili yake yote ipo Yanga sasa sijui ni lini mlimuona amechukuwa fomu ya kutaka kuwa Mbunge.
Ndio amesema anazusha huyo katibu muongo muongo Hersi hajachukua fomu kugombea Jimbo la Marehemu Job Ndugai, waweke ushahidiAliyetoa taarifa ni katibu wa ccm, asisingizie watu. Amuulize katibu wa ccm
Kwanini Hersi asiseme? Yeye ni msemaji wa Hersi?Ndio amesema anazusha huyo katibu muongo muongo Hersi hajachukua fomu kugombea Jimbo la Marehemu Job Ndugai, waweke ushahidi
Ni chawa wake, na hakuna sehemu wamesema Yanga inagombea au imechukua form, issue ya Hersi ni issue binafsiKwanini Hersi asiseme? Yeye ni msemaji wa Hersi?
Sijui Katibu na yeye nani ni mkweliAliyetoa taarifa ni katibu wa ccm, asisingizie watu. Amuulize katibu wa ccm
Yanga hapa inaingiaje? huyu Kamwe ni tapeli haswa"Klabu ya Yanga imesafiri na Rais wetu Hersi Kuja huku Rwanda na sijui hizi taarifa zimetoka wapi kwasababu kila kitu kilihishia alipotaka kuwa Mbunge wa Kigamboni."
"Kuna vitu vinaendelea kwasababu kuna watu wametumwa kuja kuharibu mipango yetu na wanataka tufanye vibaya kwenye ligi na klabu BINGWA."
"Niwaombe Mashabiki wa Yanga tuungane pamoja na tusiruhusu minon’gono mingi ambayo haina maana yoyote kwetu sisi na niwaambie tu kuwa hatuyumbishwi bado tupo kwenye malengo Yetu na Rais wetu akili yake yote ipo Yanga sasa sijui ni lini mlimuona amechukuwa fomu ya kutaka kuwa Mbunge."
Soma > Hersi atemwa tena ubunge Kongwa, 13 wapita
==
"kuna kitu kinajaribu kutengenezwa katika klabu yetu amabayo inafananishwa na ndugu wa familia moja ambao wanapishana mitazamo lakini wanasahau kufunga milngo kwa bahati mbaya tumewaruhusu nyoka na wadudu wabaya mbele Yetu na niwaombe mashabiki wenzangu wa Yanga kwanzia sasa tusikibali haya mambo maana watu wanataka kututoa mchezoni ili tufanye vibaya kwenye ligi."
Chanzo: Crown FM
Kiazi ni nani Eng au ....kamwene?Huyo gen z kiazi sana ila siwezi laumu ugali wake ndio unatokana na huo utahira hasaa kwenye nchi za kusadikika🤔
Ambae ni gen z kati ya haoKiazi ni nani Eng au ....kamwene?
AhaaaAmbae ni gen z kati ya hao
Hahaha noma sana