S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Aug 15, 2025 #21 2070 said: Kwanini Hersi asiseme? Yeye ni msemaji wa Hersi? Click to expand... Kutoka kuwa msemaji wa klabu na sasa amejigeuza kuwa msemaji wa mtu
2070 said: Kwanini Hersi asiseme? Yeye ni msemaji wa Hersi? Click to expand... Kutoka kuwa msemaji wa klabu na sasa amejigeuza kuwa msemaji wa mtu
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Aug 15, 2025 #22 Wameshatuchefua hawana akili
J jindundu JF-Expert Member Joined Aug 1, 2025 Posts 679 Reaction score 581 Aug 15, 2025 #23 Wewe Ali kamwe tuliza mtandao fulani wa simu. Jamaa yako alifyekwa kigamboni fyaaaaaaa! Kuleeee!! Kwa uroho na tamaa ya fisi akajipeleka kongwa nako wamemla kichwa chweeeeee! Kwisha
Wewe Ali kamwe tuliza mtandao fulani wa simu. Jamaa yako alifyekwa kigamboni fyaaaaaaa! Kuleeee!! Kwa uroho na tamaa ya fisi akajipeleka kongwa nako wamemla kichwa chweeeeee! Kwisha
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 16, 2025 #24 Kawaida sana... Cc: Mahondaw