Kamwe huwezi kumridhisha Mwanamke

Siyo mwanamke tuu
Pointi ni kwamba huwezi kumridhisha Mtu.
Fanya unachoweza kumfanyia mtu ila usisubiri shukrani...
Mind your business
Kila mtu anajukumu na furaha yake 100%..
Usiingilie hili jukumu utakuwa frustrated vibaya mno...
Unajukumu na furaha yako tu wengine utajaribu kuwawezesha wasipoona hilo achana nao
Haijalishi ni nani be it your mother, sister, father,Brother,daughter or wife.
 
Mkuu, umetendwa au?
 
Hawa viumbe hawana formula sema bhas tu itabidi tuishi nao ivo ivo tutafanyeje sasa.
 
Mbona unasema jpl wakati mie ndio nataka nichek in kusubiri mtoto wa watu aje kumwaga kojo
 
Kumkosoa kwao tu Mungu muumba wa kila kiumbe chenye uhai ni tayari kunaeleza uhalisia wa hivi viumbe vilivyo.

Hawakujiumba ilihali wanalazimisha kuweka viungo bandia miilini hadi kubadili rangi zao asilj za ngozi ili wawe wazuri.

Akili zao wanazijua wao wenyewe Wanawake.
 
Kweli mkuu
 
Kila nikiwaza kwamba kichwa cha mtoto huwa kinapita pale, dah.... acheni kushindana na mbususu
 
haaaa imekuwaje bro!! umechoshwa nao eeeee??? kumbuka maumbile yao si kama yetu wanaume kaka
 
Yule aliyemfanya akala tunda pale bustanini ndio kiumbe pekee Anayeweza kumridhisha MWANAMKE
 
Wewe umeoa MALAYA ndo tatizo lako..usiwe unabeba magwiji ya mjini
 
kabisa huwezi shindana na ulipotoka siku zote furaha ya mtu ipo akikini mwake
 
Wewe gonga lala, mengine atajua mwenyewe afanyaje
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…