Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Una bahati sana Wazanzibari hawakujui kwa Majina yako halisi, ila kwa kutaka Watawaliwe na Mwanamke ungeyakoga sana tu Matusi yao Ndugu.
 
No sizugi kujifanya mwema, bali kiukweli Pasco Mayalla ni mtu mwema kabisa wa ukweli, hata siku ukisikia Mungu amenipenda zaidi, ujue nimeenda straight to heaven!.
P

Mtu Mwema huwa anajitaja au Watu ndiyo humuona hivyo? Acha Unafiki na Kujikweza Kwingi badilika!
 
Una bahati sana Wazanzibari hawakujui kwa Majina yako halisi, ila kwa kutaka Watawaliwe na Mwanamke ungeyakoga sana tu Matusi yao Ndugu.
Hakuna shida naweza kukupamajina yangu na picha ukitaka na adress, mimi nawajuwa Wazanzibari, watu wangu, sisi hatuna shida na mwanamke, shida yetu ni vipaumbele vyetu, vikizingaiwa hata awe baradhuli, tutampa, ubaradhuli itakuwa mambo yake binafsi.
 
Na unaweza kukuta hata wengine tukisema tuonyeshane Matokeo yetu ya Kitaalama tokea Msingi hadi Chuo Kikuu Yeye ndiyo akawa Kilaza sana.
Tangu mwanzo nimesisitiza humu, tusitishane na usomi wa viwango vya elimu na mavyeti, nimesema kuna watu ni ma Ph.D holders lakini ni vilaza, na kuna watu ni STD 7 lakini ni ma GT!.
Nikasema dalili ya kwanza ya kilaza ni kujenga hoja based on lies, hoja zake zikipanguliwa with references, vilaza hawana uwezo kufanya references na hata wakiwekewa references, hawana uwezo wa kusoma rejea.

Mfano mzuri wa vichwa hivi ni hiki
Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Vichwa watasoma, ila vilaza wenzangu na mimi, tuendeleeni tuu.
P
 
No sizugi kujifanya mwema, bali kiukweli Pasco Mayalla ni mtu mwema kabisa wa ukweli, hata siku ukisikia Mungu amenipenda zaidi, ujue nimeenda straight to heaven!.
P
Mkuu Mbona jama leo wamekusakama sana hawa vijana, umewafanya nini?

Hii jf sikuhizi imevamiwa na watu wasiopenda hoja tofauti, na kwa mtindo huu hatuwezi pata tija na mijadala hii..
Mimi nadhani Uko vizuri tuu Mkuu, japo nakutuhumu kwa kuwchukia wazanzibari kwa kuchanganya damu na waarabu,(history hii ya kubaki isiyofutika haikwepeki ) lakini Mimi sikuchukii.

naamini Umtu Mzuri tuu, tena mwenye Tafakuri nzuri sana za kisomi na zenye kufikirisha.
Wengi wanakutazamakwenye Angle Moja tuu,wakati wewe ni Binadamu muandishi mwenye Experiance na mitazamo + tele.
Mpeni heshima yake Mzee P.
 
Mimi nadhani Uko vizuri tuu Mkuu, japo nakutuhumu kwa kuwachukia wazanzibari kwa kuchanganya damu na waarabu,(history hii ya kubaki isiyofutika haikwepeki )
Mkuu Battawi, asante kwa fagilia.
Haya ya vilaza wa jf, tuyaache, if ni ya wote, ma GT na vilaza, tuu pamoja

Siwachukii Wanzanzibari, tena ungelijua mimi nikoje na Wanzanzibari, huwezi amini, nisije nikasema humu, mkanijia juu!.
P
 
Mtu aliesoma kwa pesa za wanyonge halafu akakimbilia ughaibuni bila ya kuitumikia nchi, hatuwezi kumpa hata udiwani never........
 
Mkuu Battawi, asante kwa fagilia.
Haya ya vilaza wa jf, tuyaache, if ni ya wote, ma GT na vilaza, tuu pamoja

Siwachukii Wanzanzibari, tena ungelijua mimi nikoje na Wanzanzibari, huwezi amini, nisije nikasema humu, mkanijia juu!.
P

Unahangaika na Kujitutumua kujibu kila mara kwakuwa Ujumbe niliokupa umekuingia na unakuuma kwelikweli hadi unakuja na ID's zako zingine.
 
Unahangaika na Kujitutumua kujibu kila mara kwakuwa Ujumbe niliokupa umekuingia na unakuuma kwelikweli hadi unakuja na ID's zako zingine.
Kuna watu wengi wana suffer ugonjwa wa insecurity ya kutojiamini na kudhani kila mtu humu ana multiple ID's, unaosababishwa na deep rooted neurosis bila wao kujijua!, ukiisha jua kuwa mtu unaejadiliana ni neurosis case, then you do the right thing of which ndio I do from now, this is my last post kukujibu.
Uwe na amani my friend, kutokujiamini ni tatizo!.
Pole.
P
 
Mkuu Battawi, asante kwa fagilia.
Haya ya vilaza wa jf, tuyaache, if ni ya wote, ma GT na vilaza, tuu pamoja

Siwachukii Wanzanzibari, tena ungelijua mimi nikoje na Wanzanzibari, huwezi amini, nisije nikasema humu, mkanijia juu!.
P
Najuwa yaliyokukuta mkuu 😀 , lakini si ume 'give up',au uliendelea kufanya juhudi kutafuta tafuta mpya Mkuu ?
Sisi hatuna Nongwa bana, Unguja ni njema, atakae naaje,
 
Najuwa yaliyokukuta mkuu 😀 , lakini si ume 'give up',au uliendelea kufanya juhudi kutafuta tafuta mpya Mkuu ?
Sisi hatuna Nongwa bana, Unguja ni njema, atakae naaje,
No sikuthubutu tena!.
Ukiisha umwa na nyoka, ukiona unyasi tuu unashituka!.
Siku hizi, Zenj nafanya kuisikia tuu!
P
 
Hatareeee san mweeeeeh, tutayashuhudia mengi safari hiii
 
@gentamycine umesomeka
 
Kwa mara ya kwanza Ccm inawaletea wazanzibar rais mkristu tena Mrangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…