Mzukulu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2020
- 1,401
- 2,641
- Thread starter
- #181
CCM wakimuweka Mama Samia, watakuwa na chansi kubw zaidiya kushinda kwenye sanduku la kura.
kwa kuwa huyu mama Ni mzalendo kidogo na Huenda akakubali vipaumbele vya wazanzibari.
Hata hivyo kura za kina mama atazikwaa ambazo ndio nyingi kuliko wanaume.
Mimi naomba wasimmpe ili CCm ipate kipigo cha mbwa KOKO kama kawaida yao, hlafu mwaka huu wafute tena uchaguzi mchna kweupe bila ya sababu za msingi,waone joto ya jiwe.
Una bahati sana Wazanzibari hawakujui kwa Majina yako halisi, ila kwa kutaka Watawaliwe na Mwanamke ungeyakoga sana tu Matusi yao Ndugu.