Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Anza kuangalia wa kwanza hapa jf ni nani tutajua anayetumia ya mwenzake ni nani
Mimi hii hapa trehe yangu ya kujiunga Mar 29, 2014
N hii hapa ya kwako ya kujiunga Sep 4, 2014
Nimekutangulia kwa miezi 6 .
 
Basis ni ya kwako mkuu...nipe muda wa kutafuta nyingine
 
Hakika na kweli imekuwa heri kwake Dr. Hussein
 
Hakika na kweli imekuwa heri kwake Dr. Hussein

Dr inasimama kwa Daktari wa Falsafa ( Doctorate ) tu na Dkt inasimama kwa Daktari wa Binadamu ambayo ndiyo Fani yake Hussein Mwinyi sawa?
 
Vipi sasa John anakwenda na Hussein!!
Bavicha wengi wenu mtaishia kuwa wachawi
 

Mzukulu naona wajuba wa ccm wamekuchania mkeka.
 
Hongera Dkt HAHM Naona Leo Mzee AHM atalala na filatu ....kwa furaha jambo lake limetimia !!! Ila Mzee ameimba mapambio nae duuuu
 
Majungu tu, John hamuogopi mtu yeyote si hapa nchini bali dunia nzima,yeyey anamuogopa Mungu tu,halafu wewe si Mungu unaweza kutangulia wewe mahala pa milelel na mzee wa watu akaendelea kudunda.
Magufuli ni mwoga na anaogopa ushindanj.
 
Majungu tu, John hamuogopi mtu yeyote si hapa nchini bali dunia nzima,yeyey anamuogopa Mungu tu,halafu wewe si Mungu unaweza kutangulia wewe mahala pa milelel na mzee wa watu akaendelea kudunda.
Umenena vyema, nimeshangaa kuna mahali mtu amepost eti John anamuogopa Agrey mwanri ndio maana kamtumbua ukuu wa mkoa, like seriously?? Hv wanamuonaje huyu jamaa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…