Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Zanzibar 2020 Kamwe Joni hawezi Kusafiri na Hussein kwenda nae Zanzibar, ila atasafiri na Makame ambaye si tu amemzoea bali pia anammudu sana

Duh...!.
Hoja za bandiko hili ni hoja za uongo mkubwa na za kubaini!.
1. Joni sio mtu muoga na asiejiamini kama unavyomuelezea hapa kumuonyeshea ni mtu muoga, hana confidence na anasumbuliwa na tatizo la insecurity ya kuogopa watu kitu ambacho sii kweli!.
2. Hussein hana mtandao wowote, ni mtu simple, humble and down to earth, anasimama mwenyewe with his own merits, hategemei mbeleko ya yeyote!
3. Kitu pekee ulichopatia kwenye bandiko hili ni Makame kwa sababu ni presidential material kama nilivyo muelezea hapa
Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe?
P
Mzee wa kujikomba hukosekani
 
Kuna Mzee Mmoja ( Jina Kapuni ) japo alishawahi Kuniongoza Kikatiba huko nyuma taratibu sasa naanza kuona jinsi ambavyo huenda Ugonjwa wa Moyo utakavyoanza Kumuathiri na pengine hata Israeli anaweza Kuamua Kuondoka nae mapema tu kwenda katika Mapumziko yake ya Milele.

Sababu kubwa ni kwamba kama kuna Mzee ambaye si tu alikuwa anajikomba bali bado pia anajikomba kwa Joni huku akijiaminisha kabisa kuwa iwe isiwe Mwanae Mpendwa aliyeyazoea Maisha ya kuishi na Wanajeshi kwa miaka mingi atakuja nae Kuirithi Kazi yake huko kwa Waunguja na Wapemba ila kwa upepo unavyoenda sasa Mwanae huyo hiyo Kazi ataisikia tu katika Bomba.

Si tu kwamba Joni hataki Kuongozana na Hussein katika Safari yake ya kwenda Kisiwani Zanzibar ila anaogopa kuwa huenda huko mbeleni akaja Kumsumbua hasa ukizingatia Hussein kaanza kuwa katika Mfumo kabla yake na ana Mtandao mkubwa ulioratibiwa vyema na Baba yake alipokuwa Kazini hivyo anaona bora tu asafiri na Makame ambaye amemzoea na anammudu vilivyo kabisa.

Na kinachosikitisha na hata kutia Huruma kabisa ni kuwa tayari Hussein alishaanza Kuuvaa uhusika wa hiyo Kazi anayoenda Kuikosa na Kuijutia.
It Just a matter of time we can see naamini kama hussein akienda kukosa hii nafasi aliyotarajia na anayoitaka basi huu italeta mzozo ila siamini.
 
Duh...!. Jf ya siku hizi!, vilaza wametamalaki sana humu, mtu alete hoja za uongo, akitokea mtu akapangua hoja kwa hoja, unaambiwa anajikomba!.
Duh...!.
P

Ungekuwa una Akili ungeacha tu hata Kuuchangia / Kuushobokea huu Uzi kwani kwa Upuuzi unaoujibu ndiyo unazidi kuonekana ulivyo Hamnazo.
 
It Just a matter of time we can see naamini kama hussein akienda kukosa hii nafasi aliyotarajia na anayoitaka basi huu italeta mzozo ila siamini.

Kwani Hussein Mwinyi aliandikiwa kuwa akizaliwa tu ni lazima atakuja kuwa Rais wa Zanzibar 2020? Basi ninakuhakikishia hatokuwa Yeye niamini.
 
Msingi Mkuu wa majadiliano humu jf ni kubishana kwa hoja, kwa hoja kujibiwa kwa hoja na au kupanguliwa kwa hoja na sio kwa viroja.

Umeleta hoja dhaifu kwa kuzijenga kwenye dhana ya uongo. Joni sote tunamfahamu jinsi alivyo jasiri na asiyeogopa mtu, leo unamsingizia uongo wa mchana kweupe kuwa Joni anamuogopa mtu!.

Nikija kwa Huseni, usikute wewe umemfahamia Hussein hapo ulipomfahamu, its very unfortunately unamtungia uongo wa kubebwa!. Kwa taarifa tuu, Hussein namfahamu kitambo, nimesoma nae Tambaza, wakati Hassan ni rais wa JMT!, hivyo nimesoma na mtoto wa rais and always was simple, humble and down to earth!. Hadi leo hadi kesho kuanzia baba yake Hassan hajawahi kuwa na mtandao wowote na hajawahi kumbeba mwanae Hussein. Hussein amefikia hapo alipofika on his own merits na sio kwasababu baba yake alikuwa rais, hivyo huo pia ni uongo na nimepangua hoja yako ya uongo with facts. Ukiitetea tetea with facts.

Mwisho huwa nitatumia references kwenye hoja zangu, kwa vile Watanzania walio wengi ni vilaza tuu kama ilivyo, japo sijui kiwango cha elimu yako hivyo sorry kukuita kilaza kwasababu tuna hadi watu wenye Ph.D lakini ni vilaza tuu!, mtu huwezi kuandika literacy level au kutoa hoja bila references, ukiona mtu hapendi kusoma reference kwenye hoja yoyote, huyo ni kilaza tuu!.
Hivyo ninapoweka zile references zangu, naziweka kwa ajili ya learned brothers and sisters wanaopenda kusoma hoja with reference facts na sio kwa ajili ya vilaza wasoma heading.

JF was meant for GT, lakini in reality ma GT wapo, ordinary people wapo, simple minds na vilaza pia wapo, JF ni ya wote,enjoy!
Good day.
P
Mkuu funika kombe life liendelee
 
Ungekuwa una Akili ungeacha tu hata Kuuchangia / Kuushobokea huu Uzi kwani kwa Upuuzi unaoujibu ndiyo unazidi kuonekana ulivyo Hamnazo.
Wee jamaa unaboa Sasa unaonekana una chuki binafsi na P. Na hii inaonesha jinsi unavyokazana kumshambulia yeye binafsi.kukukosoa kuwa una potosha isiwe sababu ya kumchukia naona Sasa una kazi ya kumu attack yeye badala ya kujibu hoja kwa hoja, unajishusha hadhi pia utaonekana kilaza bure.ni ushauri tu huu!!
 
Nilikuambia na naendelea Kukuambia kuwa kupitia Uzi huu utaendelea Kuzitumia ID's zako zote ili uonekane unakubalika wakati ni Wewe Mmoja.
 
Nilikuambia na naendelea Kukuambia kuwa kupitia Uzi huu utaendelea Kuzitumia ID's zako zote ili uonekane unakubalika wakati ni Wewe Mmoja.
Kweli wewe kilaza hii I'd ya p? Pili Pascal ni nguli Ni great thinker humfikii hata chembe Kama kukoselewa tu kwa upotoshaji umekuwa mkali kweli utajiita great thinker? [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Kwani JF Members wote tumejiunga hapa JamiiForums ili tuchangie, tushauri na tuburudike au tushindane na huyo Mpuuzi Mkomavu Mwenzako?
 
Kwani JF Members wote tumejiunga hapa JamiiForums ili tuchangie, tushauri na tuburudike au tushindane na huyo Mpuuzi Mkomavu Mwenzako?
Ndio ujiulize wewe unae mua attack mtu badala kwenda hoja kwa hoja na kuzidi kupotosha kila anae comment kinyume na matarajio yako unapotosha Tena kuwa ni I'd ya Pasco. Lazima uwe mkomavu
 
Ndio ujiulize wewe unae mua attack mtu badala kwenda hoja kwa hoja na kuzidi kupotosha kila anae comment kinyume na matarajio yako unapotosha Tena kuwa ni I'd ya Pasco. Lazima uwe mkomavu

Naona baada ya Kujitahidi kutuma Maombi ya kuwa Mke wake Mbadala Kubuma sasa umeamua Kujikomba hivi Kwake ili labda aweze Kukufikiria.
 
Back
Top Bottom