Kamwe sitounyamazia huu Upuuzi wa baadhi ya Mashabiki Wenzangu wa Simba SC kuwa GSM imedhamini Vilabu Saba NBC hivyo itapanga Matokeo

leo nikakutana na mdada wa simba kumtania kidogo tu akashika mawe! na nilikuwa mbali kidogo nae nilimsogelea ghafla!,akanikosakosa jiwe la kwenye kizazi sasahivi mnamakasiriko ndo mmefikia level hii duh!..😂
Sababu nini huyo dada kufanya hivyo? Au hana hela? Au kaachwa? Au ana madeni ya kausha damu ..njoo kwangu nikupikie ugali samaki ule ushibe...nje ya mpira maisha ni mengine kabisa...😄😄
 
Sababu nini huyo dada kufanya hivyo? Au hana hela? Au kaachwa? Au ana madeni ya kausha damu ..njoo kwangu nikupikie ugali samaki ule ushibe...nje ya mpira maisha ni mengine kabisa...😄😄
sawa nakuja
 
Tatizo la Simba liko kwenye usajili wa kubahatisha. Unastahili mchezaji ili kuhalalisha upigaji unampamba weeee baada ya wiki unatafuta mbadala wake.
 
Mtu Mwerevu kama Wewe kumjibu CERTIFIED FOOL ni kujishushia tu Hadhi yako Mkuu. Uzi wangu umemaliza kila Kitu tu.
 
Afadhari wewe umeongea labda watasikia maana chawa ni wagumu kuelewa jana nmeuliza humu hii timu inaendeshwaje mwaka wa pili bila mkutano mkuu wala kusomewa budget mazuzu yakanishambulia
Hakuna kitu wanachopenda UTOPOLO, kama kusikia mtu anaiponda timu ya Simba!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Safi sana hapa leo utapata endorsement kutoka kwetu. Umegundua makolo wenzio wanakudharau sana. Anyway sisi Yanga tutaku support sana. Maana hii ndo Team ya Taifa. Mwaka huu wote Mtashabikia Yanga. Niamini mimi.
 
Hebu tuambie, kwanini GSM wana mkataba wa siri na TFF? Wanaficha kitu gani?

Wewe unayetetea huo ujinga umewahi kuuona mkataba wowote kati ya GSM, na hivyo vilabu ssba?

Hujui ulichoandika hapa.
 
Hii nchi itauzwa yote kama mambo ndo haya
 
Good thinking
 
Hebu tuambie, kwanini GSM wana mkataba wa siri na TFF? Wanaficha kitu gani?

Wewe unayetetea huo ujinga umewahi kuuona mkataba wowote kati ya GSM, na hivyo vilabu ssba?

Hujui ulichoandika hapa.
Kwahiyo mikataba uliona wapi ikawa wazi?
 
Kumbe wakati mwingine huwa unaandika points
 
Hebu tuambie, kwanini GSM wana mkataba wa siri na TFF? Wanaficha kitu gani?

Wewe unayetetea huo ujinga umewahi kuuona mkataba wowote kati ya GSM, na hivyo vilabu ssba?

Hujui ulichoandika hapa.
Wewe tuonyeshe mkataba wa Simba na MO cola tuone vipengele vyake
 
Mimi ni shabiki na mwanachama wa Yanga. Ila kusema ukweli ni kwamba Simba iliondoka na marehemu Hans pope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…