Kamwe usidharau nguvu ya watu wajinga katika makundi makubwa

Kamwe usidharau nguvu ya watu wajinga katika makundi makubwa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Walipokuwa wachache mlisema hawatafika popote kwa maana mliona hakuna vision kati yao, hakuna logic kati yao.

Lakini wajinga hawajui kujitilia mashaka, watalaumiana wao kwa wao mara nyingi sana lakini hawawezi kuangushana katika kuifikia plan yao, wataua wachache watakaojifanya wana akili zaidi yao kwa maana kwa akili zao mgando watawadhania wanawasiliti.

Leo hii makundi haya yapo, ukiangalia manifesto na itikadi yao ni mjinga pekee ndio anaweza kuendana na misimamo yao lakini ndio hio hivyo makundi haya yameshakuwa mashuhuri.
 
Screenshot_2026-02-10_064827.jpg
 
Back
Top Bottom