Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Mimi alinifokea kwasababu nilimtumia hela baada ya yeye kusema anahitaji pesa then nikamkumbusha namhitaji nna miezi miwili sijala mzigo.

Aliponikasirikia (eti tatizo namkumbusha wakati gani, inakuwa kama tunauziana kitu) ndio nikashtuka kumbe hapa sina mwanamke anymore.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yes brother na hapo ndipo nilipokosea

Yaani nilivyojifanya mzee wa kuomba msamaha

Mzeee wa upendo kumbe ndo nazidi kumpa moto wa kuniona mimi boya
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Nikwambie kitu mkuu, mi simkimbiagi mwanaume eti kisa hana hela, najua kuna kesho

Sasa ngoja yy mwanaume apate vijihela, yaan ni anaibuka na mijitabia ambayo hapo awali hakuwa navyo, anaibua ugomvi ili tu mgombane apate kisingizio, sasa kama ni mshamba wa wanaume unaweza kunywa sumu..

Mimi nikshaona hizi tabia huwa nakwambia kabisa oyaa umebadilika jirekebishe hii dunia haiendi hivyo hivyo vihela vitaisha, kama kawaida huwa hamsikii, Basi anaenda kwa hao wapya waliozuzuka na vihela vyake, vikiisha wanampiga kibuti, hapo sasa kabaki na kendee tatu ndo ananikumbuka mimi wit, kitu ambacho na mimi ntamfanyia lazima atanikumbuka mpaka anaingia kaburini maninaa, mfyuuu zenu[emoji57]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi alisema nimetoka mchana hiyo akiwa amelala eti sikumuaga ndiyo kikawa kisa akaondoka nakuniacha na watoto wadogo , nasema wanawake na walaaniwe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi bwana nikishaanzaga kuona elements negative huwa naanza kujiondoa mapema Sana Huwa sisubiri tuanze kugombana na kudhalilishana
 
Hata ungekuwa nao 100 kwa wakati mmoja, lazima kuna mmoja tu ambaye jicho lako na moyo wako vitakuwa kwake na ndio huyo akikutenda sasa lazima utapetape kama mfa maji
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Siwezi kubisha mkuu maana ukitafuta sababu ya mtu kubadilika hakika huipati yaani kuna mwanamke anaingia kwenye maisha yako na wewe unaingia kwenye yake unahisi huyu ndio perfect fit yaani mnashibana kuanzia mawazo fikra mpaka hisia yaani sometimes umeshika simu unataka upige labda hamja ongea siku nzima unashangaa na yeye anapiga yaani unaona mnawaza mamoja.
Yaani kunaupendo flani sio wa kinafiki unauhusi kati yenu.
Huyu kiumbe aliondoka kwenye maisha yangu lakini hakika nilimpenda hatupo pamoja tena ila namuombeaga kwa Mungu tu.
Ukisema ni mizimu naweza kukubali maana yalifunjika gafla bin vuu japo nilimuomba zaidi ya miezi 4 bila mafanikio yeyote maana mwanzo nilisihi ni upepo tu
Daahh 4month !![emoji848][emoji848]smh , Mimi niliwahi jaribu mwezi 1 tu Akaanza kukaa sawa ile hatujakaa sawa vizuri ukapita upepo mbaya mwingine hapo nikaamua mwenyewe tuachane tu mazima ,

Yaani huo mwezi 1 wenyewe nilioutumia nilikuwa naona Ni Kama mwaka mzima na hapo ni kwasababu nilikuwa nimependa haswaa, otherwise siwezi kumpa tension mwanamke hata ya week 2 ,, huwaga nikishaanza kuona mabadiliko Basi najiondoa ktk mahusiano, sitakagi stress za kiboya
 
Kuna muda naona kabisa akili yangu iko sahihi ila mpaka leo sijui kwanini nasikiliza moyo wangu zaidi.Nadhani muda mwingine sio Kama hatujui kuhusu hawa viumbe ila unakuta una sababu 99 za kumuacha lakini bado unatafuta 1 tu ya kubaki nae.
Binafsi ningekuwa natumia akili pekee kuamua masuala yote yanayonihusu,hasa mapenzi nisingewahi umia hata.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Comment yako nzito Sana hii, yaani Unajikuta wewe mwenyewe unajipa mgogoro wa nafsi akili inakuambia fanya Mambo yako at the same time moyo unakuambia I still Loving her ,
Hapo yatakiwa ujitahidi kuushinda moyo always Moyo sifa yake kuu Ni kutuingiza matatizoni ukiendekeza hisia tu umekwisha
 
Hata sisi tunaachika vizuri tu ila tunalia vyumbani tukitoka nje tabasamu usoni kama kawaida na humu nyuzi hatuweki kihivyo kama nyie kutwa mnajiliza liza humu....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hii jinsia ya kike n complicated sana wakuu maana nlikuwa na nae mmoja hv alinishangaza sana alikuwa anapenda sana starehe out kila weekends, mzigo nilipewa kila napouhitaji anauleta mwnyw gheto, alikuwa mtumiaj mzur tu anabdil style za nywele kila week, bundle la 2,000 kila cku anashinda Instagram, alikuw anajpenda sana kwakwel ila sina uhakika km alkuw ananipend mm maana mwisho wa siku aliniacha ghafla kisa nilikuwa napenda sana kuvaa ndala za matairi [emoji23][emoji23][emoji23], nkamwomba sana samahan nkaacha na kuvaa mgogo ikawa mwendo wa viatu akanambia nkitaka nimsameh nimpe 150,000 hapo ndo nikagundua hii haikuwa kuhusu viatu tvwas something else nkaja chunguza nkagundua kmbe amepata jamaa ana wazfa pale VODACOM
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daah !!!!
 
Ukipenda usitegemee chochote kutoka kwa unaempenda.

Mwanamke hawezi muache mwanaume anaempenda never penGine sisi tunachukua pisi za watu at the end. Tunaanza kulialia

Kuna member alishawahi changia kitu kwenye uzi fulani . Komment yake ilisema hivi÷

Kwenye mapenzi kinachopewa kipaumbele ni vitu gani umefanya ? hasa kwa mwanamke , kama ulikuwa unatoa huduma fresh kwa "SHE" basi wewe kausha tu one day utaona anarudisha matak♡ yake trust me
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji457][emoji375]
 
Mimi mpaka hapa nafikiria kwenda kwa mganga nione kama ataolewa unyama unyama tanga ni karibu sana na hata rorya ni karibu sana wataalamu wapo,unyama unyama
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119]
 
Kinachowatesa raia wakiachana,Ni zile memories walizowahi kushare wakiwa pamoja.
Mziki una nguvu sana.Leo hii mziki iliowahi kusikiliza Mara nyingi ukiwa na mpenzi wako ukipigwa, lazima utamkumbuka tu,au upigwe mziki automatically huwa Kuna kitu kwenye ubongo kinakwambia "Nilikuwa sehemu fulani[emoji124]"
[emoji457][emoji375]
 
I second u, naumia zaidi sababu tuna mtt na nampenda kuliko kitu chochote na amekuwa so emotional baada ya kugundua baba yake sipo sawa, ukweli ni kwamba ameshindwa kubalance btn new love na mtt amemuweka pembeni am not oky with that as mtt anapata mateso ambayo hastahili,

I know hajafata chochote huku zaidi ya mapenz ambayo mm may be nimeshindwa kuonesha ila namuonea huruma kiumbe huyu wangu wa pekee as i have to move on with my life as am broke na nimeharibu mpaka kazi yangu
Daahh [emoji848][emoji30][emoji20]sad

SMH [emoji20]
 
Back
Top Bottom