Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Yes brother na hapo ndipo nilipokosea

Yaani nilivyojifanya mzee wa kuomba msamaha

Mzeee wa upendo kumbe ndo nazidi kumpa moto wa kuniona mimi boya
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi alisema nimetoka mchana hiyo akiwa amelala eti sikumuaga ndiyo kikawa kisa akaondoka nakuniacha na watoto wadogo , nasema wanawake na walaaniwe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi bwana nikishaanzaga kuona elements negative huwa naanza kujiondoa mapema Sana Huwa sisubiri tuanze kugombana na kudhalilishana
 
Hata ungekuwa nao 100 kwa wakati mmoja, lazima kuna mmoja tu ambaye jicho lako na moyo wako vitakuwa kwake na ndio huyo akikutenda sasa lazima utapetape kama mfa maji
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Daahh 4month !![emoji848][emoji848]smh , Mimi niliwahi jaribu mwezi 1 tu Akaanza kukaa sawa ile hatujakaa sawa vizuri ukapita upepo mbaya mwingine hapo nikaamua mwenyewe tuachane tu mazima ,

Yaani huo mwezi 1 wenyewe nilioutumia nilikuwa naona Ni Kama mwaka mzima na hapo ni kwasababu nilikuwa nimependa haswaa, otherwise siwezi kumpa tension mwanamke hata ya week 2 ,, huwaga nikishaanza kuona mabadiliko Basi najiondoa ktk mahusiano, sitakagi stress za kiboya
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Comment yako nzito Sana hii, yaani Unajikuta wewe mwenyewe unajipa mgogoro wa nafsi akili inakuambia fanya Mambo yako at the same time moyo unakuambia I still Loving her ,
Hapo yatakiwa ujitahidi kuushinda moyo always Moyo sifa yake kuu Ni kutuingiza matatizoni ukiendekeza hisia tu umekwisha
 
Hata sisi tunaachika vizuri tu ila tunalia vyumbani tukitoka nje tabasamu usoni kama kawaida na humu nyuzi hatuweki kihivyo kama nyie kutwa mnajiliza liza humu....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]daah !!!!
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji457][emoji375]
 
Mimi mpaka hapa nafikiria kwenda kwa mganga nione kama ataolewa unyama unyama tanga ni karibu sana na hata rorya ni karibu sana wataalamu wapo,unyama unyama
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji119]
 
[emoji457][emoji375]
 
Daahh [emoji848][emoji30][emoji20]sad

SMH [emoji20]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…