Kamwe usijaribu kumng’ang’ania mwanamke anayeonekana hakuhitaji tena, utaumia

Mapenzi ya hapa bongo yanahitaji uwe na emotional intelligence ya kutosha tafuta mke ambaye utaweza kuacha ili uweze kuandelea na maisha mengine
 
Hata Mimi ningefoka ungesubiri hata baadae kidogo sasa wewe hapohapo[emoji23]
Umeshindwa kuniheshimu mimi, mahitaji yangu sasa na pesa yangu uidharau?

Yani huna kazi nakuhudumia all ur luxury needs for months afu unanipangia muda wa kuomba mzigo? Inabidi nikukumbushe majukumu yako naona kama umesahau ilhali unahakikisha natimiza yangu.

Foka basi. Ukimaliza anza utaratibu wa kutafuta boya jipya maana hili umelitia visu halijai upepo tena.
 
Alafu unakuta umetumia nguvu ya pesa nyingi kua nae,lakini mwenyewe hata habari na wwe hana! Hapo ndiyo naaminigi kua Mapenzi siyo pesa,maana hao wenye pesa ndiyo wanateswa sana na Mapenzi ukilinganisha na watu wa vipato vya chini!!
Uzuri mmoja wanawake wanakuwa wajinga sana kwenye uchaguzi, namaanisha kwenye kuchagua wenza. Unaweza ukampenda ukampa kila kitu mpaka usafiri chakushangaza akamthamini dereva bajaji kuliko wewe, ndio maana mapenzi yangekuwa utajiri Afrika tungekuwa namba moja. Ila chamsingi HAKUNA MWANAUME AU MWANAMKE ALIYESHINDANA NA MAPENZI AKASHINDA TOKA DUNIA IANZE MPAKA KESHO.

USHAURI KWA WOTE: Tulia na ulie nae mjenge maisha na maendeleo hakuna bingwa wa hizo pigo na hatawahi kutokea .
 
Sasa si ungeomba hata kabla ya kutuma pesa..... I'm not saying she was right kutokukuheshimu na mengine nimesema tu hata Mimi ungenitumia pesa halafu unaambatanisha na maombi ningechukia tu
 
Hata sio kweli, unaweza ukawa na mwanaume unampenda kwa dhati, na wala huna hata hisia za kumsaliti ila yeye akaanza kukufanyia vituko kumbe kaishakuchoka anakutafutia sababu, sasa kwa kuwa sisi ni watu wa hisia sana tunakuwa tumeshajua ukweli inabidi ujiondoe kimyakimya tu kuepusha malumbano.

Na hasa hasa hii hutokea pale mwanaume anapopata vijisenti mbuzi, anaona hee huyu wa kazi gani hanifai ngoja nitafute mpya, kasheshe ni pale vihela vilikiliwa na huyo mpya zikaisha halafu eti linarudi kwangu na mapumbuu tu, ndo siku hiyo utatamani ardhi ipasuke kitu nakufanyia siku hiyo[emoji57][emoji57]
 
Sasa si ungeomba hata kabla ya kutuma pesa..... I'm not saying she was right kutokukuheshimu na mengine nimesema tu hata Mimi ungenitumia pesa halafu unaambatanisha na maombi ningechukia tu
Sikuomba, nilikumbusha that it has been a while, do something about it.

Btw kuna uhusiano gani? By your logic ningemkumbusha afu nikatuma si yale yale tu kama namshinikiza?

How is the former better?
 
Alafu unakuta umetumia nguvu ya pesa nyingi kua nae,lakini mwenyewe hata habari na wwe hana! Hapo ndiyo naaminigi kua Mapenzi siyo pesa,maana hao wenye pesa ndiyo wanateswa sana na Mapenzi ukilinganisha na watu wa vipato vya chini!!
Hahahah hamna namna
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 

Wee ndio umeongea point...cha msingi ni kuwa na warembo watatu. Akizingua mmoja una sehemu ya kujipoza
 
Huu unaonekana ni msimu wa kuachana hapa Jamiiforums, toka msela wa Manzese ale za uso kuna wana kibao nao wamepitiwa na upepo huu wa kuachwa kibabe. Leo tuko na C programming katika kikombe hiki.
Yes brother na hapo ndipo nilipokosea

Yaani nilivyojifanya mzee wa kuomba msamaha

Mzeee wa upendo kumbe ndo nazidi kumpa moto wa kuniona mimi boya
 
Hahahah wote huwa mnafanyiana hayo, at times mwanaume yuko broke kuna wanawake huwa wanakimbia.
 
Haaaa haaaa mbona pumbuma [emoji23]
 
Sikuomba, nilikumbusha that it has been a while, do something about it.

Btw kuna uhusiano gani? By your logic ningemkumbusha afu nikatuma si yale yale tu kama namshinikiza?

How is the former better?
From my POV wanawake hasa yule anayekupenda huwa wanachukia mwanaume wake amtumie hela then unakumbushia sex it's like you are buying goods from me.... Jaribu kukumbushia katika mazingira ambayo hayahusiani or hayatakuwa associated na pesa. Okay may be kuchukia is a strong word the right one is irritation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…