Hata sio kweli, unaweza ukawa na mwanaume unampenda kwa dhati, na wala huna hata hisia za kumsaliti ila yeye akaanza kukufanyia vituko kumbe kaishakuchoka anakutafutia sababu, sasa kwa kuwa sisi ni watu wa hisia sana tunakuwa tumeshajua ukweli inabidi ujiondoe kimyakimya tu kuepusha malumbano.
Na hasa hasa hii hutokea pale mwanaume anapopata vijisenti mbuzi, anaona hee huyu wa kazi gani hanifai ngoja nitafute mpya, kasheshe ni pale vihela vilikiliwa na huyo mpya zikaisha halafu eti linarudi kwangu na mapumbuu tu, ndo siku hiyo utatamani ardhi ipasuke kitu nakufanyia siku hiyo[emoji57][emoji57]