ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Ukikumbusha katika mazingira tofauti unapata response rahisi sana yani isiyo na mashiko na mtu haonyeshi kushtuka wala kutake effort. Unakumbusha mara mbili tatu huoni change yoyote. Mtu anatimba geto akiwa period or sick. Unaendelea kuwa mpenzi mtazamaji. Ongezea na vidharau vidogo vya hapa na pale na ukosefu wa respect & kauli nzuri (big problem) lazima ujidouble check: kaniona boya au la?From my POV wanawake hasa yule anayekupenda huwa wanachukia mwanaume wake amtumie hela then unakumbushia sex it's like you are buying goods from me....Jaribu kukumbushia katika mazingira ambayo hayahusiani or hayatakuwa associated na pesa.Okay may be kuchukia is a strong word the right one is irritation
That was a test and the result was a definite positive. Angalau hela niliyotuma (wallahi nyingi) ilinisave from a life of misery maana niliwake up kwakweli.