Kamwe usikate tamaa, endelea kumtegemea Mungu

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Habarin wapendwa!! Maisha ni fumbo zito sana, narudi hatua kadhaa nyuma najaribu kuangalia jinsi nilivyopoteza tumain kt maisha yangu, kila mlango ulikuwa umejifunga tena na kufuli nzito ya chuma na matumain ya kupata funguo hazikuwepo kabisa. Ni hivi nilibahitika kupata chuo cha diploma ya udaktari(clinical officer) lakin nilikuwa sina kabisa uhakika wa kwenda chuon, hali ya familia ni duni. Mara nyingi nimefika hapa jukwaan kujaribu kuomba msaada huku nikijitahd kujieleza lakn bado sikupata tumain zaid ya kukashifu mtiririko wangu wa uandishi pamoja na kujieleza kuwa natumia mchina, nikawapm watu mbalimbal maarufu humu jamvin lakn sikupata tumain,nikatafuta e.mail za wabunge mbalimbal bado sikupata tumain, nikaingia kt maofisi ya wakurugenz bado sikupata tumain.. ndipo akajitokeza mama mmoja akasema 'nitakusaidia' na ht sikutegemea.. na kweli amenisaidia na sasa nipo chuon ST.BAKHITA. huyu mama ananilipia ada tu amenambia matumiz na mengine machache nijitahd mwenyewe.. ni mtihan kwangu... itaendelea
 
Pole, Mungu yuko nawe atafungua milango na utafikia malengo yako. {GOD WILL MAKE A WAY WHETHER SEEMS TO BE NO WAY}
 
NAENDELEA.. ni mtihan kwangu kwa sababu nipo chuon sina hata muda wa kufanya kazi nitapata wapi hela ya matumiz madogomadogo ya chuo kama sabuni n.k, najua kuna watu humu wanaojua matatizo ni nini maana wameyapitia, nakuomba kama ndugu yangu,rafiki yangu na Mtanzania mwenzangu unikumbuke hata Tsh.5,000 hata Tsh.2,000 unisaidie mdogo au mtoto au ndugu yako, mchango wako ni muhm sana kwangu kwasasa,. chuo ninachosoma kinaitwa ST.BAKHITA TRAINING INSTITUTE kipo RUKWA wilaya ya NKASI kt mji wa NAMANYERE. namba yangu ni 0763223724. Na kwa wale wenye matatizo kama yangu endeleen kumwomba Mungu kwa pamoja atusaidie. AHSANTEN SANA
 
Pole, Mungu yuko nawe atafungua milango na utafikia malengo yako. {GOD WILL MAKE A WAY WHETHER SEEMS TO BE NO WAY}

Amina ndugu yangu, na maomb yako yajibiwe kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…