Kamwe! Usikate tamaa!

😅😅😅amenishangaza kweli yani daa.wakati Kuna masela jioni ikiwadia vizuri milioni yake hi hapa kilaini tuu.kikubwa isitokee ajali nahata ikitokea sio gari zote😅😅

huyo mshamba haamini

Milioni tu Kwa siku,
Kuna vijana wapo pale Kkoo wanaingiza zaidi ya million 30 Kwa siku na wametokea ku hustle vibaya.
Sio kama story ya huyu boya .
Story haina hata content.
Nimemuuliza tu mbona hujaeleza umetoka bush ya wapi ukaenda mji gani. Kashindwa kujibu eti atajulikana.
Haya nikamuuliza umefungua biashara gani? Kashindwa kutaja.
Huyo dogo ni mmoja ya watu wanaowapa vijana hope za uwongo eti wawe wavumilivu sijui nini sijui katumwa na wanasiasa.
Maisha ni hustling and discipline tu
 
[emoji28][emoji28][emoji28]amenishangaza kweli yani daa.wakati Kuna masela jioni ikiwadia vizuri milioni yake hi hapa kilaini tuu.kikubwa isitokee ajali nahata ikitokea sio gari zote[emoji28][emoji28]

huyo mshamba haamini
Dah milioni kwa siku ni parefu kinoma
Na pengine mtu mwenyewe unaweza Kuta wa kawaida sana Hana hata majivuno/maringo
 
Mjomba mbona umenikasirikia kama nimekuomba kitu![emoji38] We hauko sawa kama siyo wale wa .. ....
Nilikuambia ikiwa Kuna unachotaka kueleweshwa kwa ushahidi uje pm na swali ili nikupe ushahidi
Badala yake unakuja hapa na kauli zako za kejeli, ukijua nimetokea kijiji gani itabadilisha nini kwenye statement yangu!
Unakuja na stress hapa ukiwa mlevi huwezi elewa kitu rudia kusoma tena utaelewa maana yangu siyo kukufuraisha wewe wapo walionuelewa!
 
Wewe fala nini nije PM kufanya nini, wewe si ndio umeleta story yako ya kipuuzi (kwako ni ya ukweli Unataka kuwahamasisha vijana wasikate tamaa).Kwa story yako ya kimagumashi.
Sasa hujatoa maelezo ya kutosha Unataka uaminiwe eti Kwa ufafanuzi nije PM.
PM siji tujadili hapa hapa live.
Kwa hiyo wewe pimbi umetoa fucking story ili watu wakufate PM ili utake kuwatapeli nini?
Ndio maana naendelea kukwambia story yako ina mapungufu makubwa na sio ya uhalisia Ninasema hivyo Kwa sababu ya critical thinking yangu.
Nakukemea acha kupotosha .
Kwa hiyo umetoa story ambayo haijajitosheleza mtu alitaka ufafanuzi akufate PM halafu Unataka story yako hiyo ihamasishe vijana.
Embu toa upuuzi wako hapa .
Pumbavu mikubwa wewe acha kulaghai vijana wewe waweza kuwa ni walewale matapeli wa kwenye mtandao
 
Dah milioni kwa siku ni parefu kinoma
Na pengine mtu mwenyewe unaweza Kuta wa kawaida sana Hana hata majivuno/maringo
Wewe kweli hujielewi, sasa unahamasisha vijana wasikate tamaa halafu unashanga mtu kuingiza milioni Kwa siku, kuna watu wanaingiza zaidi ya milioni 30 Kwa siku .
Embu uwe unatunga story zako vizuri na ziwe za kihualisia .
Sasa motivational speaker unashangaa mtu kuingiza 1m Kwa siku sasa unahamasisha nini.
Badala ya kupongeza unashangaa yaani Mimi binafsi sikuelewi
 

Unataka utumiwe picha ya duka na location na hivyo vyote ili umjue kuwa ni nani?

Braza hii ni JF, ni mwendo wa kutojulikana tuuu basiiiii.

#YNWA
 
Kuna bidhaa nyingine nyingi ambazo zinaweza kupatikana kwa bei rahisi kwa kutafuta katika machimbo. Kwa kuongezea, ninauza wine na spirit kwa bei rahisi kuliko bar, ambayo inavutia wateja wengi kuja kununua kwangu kuliko bar hasa wakati wa usiku

At some point ulivyotaja tu kiwa ngo cha faida kwa siku unachoingiza, nilihisi tu lazima utakuwa unauza 'masanga'...

Lakini nikawas sina uhakika sana kwa kuwa katika hitimisho la kisa chako uliweka weka mambo ya Mungu na 10%...

Kiukweli biashara ya masanga ina faida...
 
Mjomba Kwan una ugomvi na Mimi?
Aliyetaka ufafanuzi amekuja na amepata ufafanuzi
We endelea kuamini unachoamini
Mtura[emoji849]
 
Ukiona jambo halikuhusu liache upite tu
 
Unataka utumiwe picha ya duka na location na hivyo vyote ili umjue kuwa ni nani?

Braza hii ni JF, ni mwendo wa kutojulikana tuuu basiiiii.

#YNWA
Huyu ananikasirikia kama Kuna kitu nimemuomba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Je ni biashara gani?
  • Mtaji ulikuwa kiasi gani?, ambapo ukaanza na faida ya 5k , kisha ikawaa faida ni 12k kwa siku.
  • Je hilo eneo ulilofungulia biashara hakuna wengine wenye biashara kama yako? Kma wapo wengine je nini cha ziada ulifanya ili kuwavutia wateja?
 
sinikama wewe tuu unavyosema Kuna watu wanaingiza mamilioni kwasiku ila hujataja biashara wanazo fanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…