Kamwe! Usikate tamaa!

Kamwe! Usikate tamaa!

Kuna chochote utapungukiwa ikiwa utapita na Imani yako? Unaonekana una kasirika bila sababu
Kwan umelazimishwa kuamini!?
We ni kiongozi wa familia kweli?
Peleka upumbavu wako huko ,unadanga umma halafu uachwe pumbavu sana hata motivational uchwara hawatoagi story za hovyo kama hii yako
 
Fundi chetehani
Ususi
Urembo
Cherehan
Upishi
Hivi vyote
Ada yake haizidi laki 3 kwa kozi nzima

Kwa hiyo huyo mke wako ulienda kumsomesha kozi zote hizo?
Ndio maana nakwambia story yako haina uhalisia.
Ungeeleza kiuhalisia kwamba huyo demu wako umemsomesha let say kupamba mademu alipomaliza ukamfungulia lasuni angalau ungeeleweka.
Sasa wewe hata kutumia story hujui au hukumbuki umeandika nini.
What you wrote is rubish
 
Kuna mawili
1,kuamini
2, kupuuza,

Kwa hiyo
Ulitaka niweka data zote hapa kuanzia mji nilipo, kazi nayo fanya oparation coast ,ili muamini?
Hapana lengo langu siyo Hilo,
Lengo langu ni kuwatia moyo wale wenye kipato kidogo wasiache kazi ili wajiajiri Bali wajiajiri wakiwa kazini
Toa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mno

Baada ya miaka mitatu nilisave 3+milion, nilisema toka moyoni kupitia hii m3 naenda kufanya biashara ya kununua kahawa, niseme tu ukweli ule mwaka nilipiga hela hadi nikasema hivi miaka yote hii nilichelewa wapi??? Ndani ya miezi minne tu nilipata faida ya 3.6m.

Shortly now nimefungua ofisi yangu ambayo ni the same na kule nilikoajiriwa na ninaisimamia mwenyewe, japo pia nimetoa ajira ya vijana wawili.

Jambo ambalo nawasisitiza hawa watumwa wangu ni kwamba, kazi wafanye lakini wasipende kuwa watumwa milele. Kazi wafanye kwa malengo na iwe tu kama mlango wa kutokea upande wa pili. Natamani sana siku moja waachane na utumwa ili nao wakawe wamiliki wa ofisi zao huku wakitoa ajira kwa wengine.

Mwisho, hakuna raha kama ya kujiajiri unafanya mambo vile unataka mwenyewe, pia sioni cha maana unachofanya kama ulikoajiriwa unapata e.g 200k per month sasa huoni kama unapoteza nguvu na muda ilihali hiyo 200k unaweza kupata kwa siku 3-4 tu?? Au ni heshima/raha ukiitwa mwajiriwa???.

Siku ukipata likizo huko kazini kwako, hakikisha unakuwepo kwenye duka lako kuanzia asubuhi hadi jioni, ndipo utakuja kujua ninifaida ya kusimamia mwenyewe, kuliko kuhangaikia 200k ya boss wako.

Kuna vitu vingi kamwe hawezi kuvifanya mwajiriwa, na akifanya basi ni kwa sehemu ndogo sana. Hapa inategemeana na aina ya hudumu/biashara yako
1. Elimu au ushauri wa kutosha kwa mteja
2. Ubunifu kazini
3. Uaminifu kazini
4. Ushawishi, (kutangaza bidhaa/huduma zingine zilizopo)
5. Usafi na mpangilio bora wa vifaa/bidhaa
6. Heshima/ukarimu kwa mteja
7. Nakadhalika.... Hivi ni baadhi tu
 
Tupe chimbo huko kwenye kahawa,bado unaendelea na vipi maslahi?
 
Kwa hiyo huyo mke wako ulienda kumsomesha kozi zote hizo?
Ndio maana nakwambia story yako haina uhalisia.
Ungeeleza kiuhalisia kwamba huyo demu wako umemsomesha let say kupamba mademu alipomaliza ukamfungulia lasuni angalau ungeeleweka.
Sasa wewe hata kutumia story hujui au hukumbuki umeandika nini.
What you wrote is rubish
Broo we ndio umeelewa vibaya
Hizo ni list ya fani ambazo ada yake iko chini ya laki Tano uliyosema Sina maana alisoma zote

Broo we ni mgumu kuelewa au una shid
a ya akili?
 
Toa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mno

Baada ya miaka mitatu nilisave 3+milion, nilisema toka moyoni kupitia hii m3 naenda kufanya biashara ya kununua kahawa, niseme tu ukweli ule mwaka nilipiga hela hadi nikasema hivi miaka yote hii nilichelewa wapi??? Ndani ya miezi minne tu nilipata faida ya 3.6m.

Shortly now nimefungua ofisi yangu ambayo ni the same na kule nilikoajiriwa na ninaisimamia mwenyewe, japo pia nimetoa ajira ya vijana wawili.

Jambo ambalo nawasisitiza hawa watumwa wangu ni kwamba, kazi wafanye lakini wasipende kuwa watumwa milele. Kazi wafanye kwa malengo na iwe tu kama mlango wa kutokea upande wa pili. Natamani sana siku moja waachane na utumwa ili nao wakawe wamiliki wa ofisi zao huku wakitoa ajira kwa wengine.

Mwisho, hakuna raha kama ya kujiajiri unafanya mambo vile unataka mwenyewe, pia sioni cha maana unachofanya kama ulikoajiriwa unapata e.g 200k per month sasa huoni kama unapoteza nguvu na muda ilihali hiyo 200k unaweza kupata kwa siku 3-4 tu?? Au ni heshima/raha ukiitwa mwajiriwa???.

Siku ukipata likizo huko kazini kwako, hakikisha unakuwepo kwenye duka lako kuanzia asubuhi hadi jioni, ndipo utakuja kujua ninifaida ya kusimamia mwenyewe, kuliko kuhangaikia 200k ya boss wako.

Kuna vitu vingi kamwe hawezi kuvifanya mwajiriwa, na akifanya basi ni kwa sehemu ndogo sana. Hapa inategemeana na aina ya hudumu/biashara yako
1. Elimu au ushauri wa kutosha kwa mteja
2. Ubunifu kazini
3. Uaminifu kazini
4. Ushawishi, (kutangaza bidhaa/huduma zingine zilizopo)
5. Usafi na mpangilio bora wa vifaa/bidhaa
6. Heshima/ukarimu kwa mteja
7. Nakadhalika.... Hivi ni baadhi tu
Tupe chimbo huko kwenye kahawa,bado unaendelea na vipi maslahi?
 
Toa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mno

Baada ya miaka mitatu nilisave 3+milion, nilisema toka moyoni kupitia hii m3 naenda kufanya biashara ya kununua kahawa, niseme tu ukweli ule mwaka nilipiga hela hadi nikasema hivi miaka yote hii nilichelewa wapi??? Ndani ya miezi minne tu nilipata faida ya 3.6m.

Shortly now nimefungua ofisi yangu ambayo ni the same na kule nilikoajiriwa na ninaisimamia mwenyewe, japo pia nimetoa ajira ya vijana wawili.

Jambo ambalo nawasisitiza hawa watumwa wangu ni kwamba, kazi wafanye lakini wasipende kuwa watumwa milele. Kazi wafanye kwa malengo na iwe tu kama mlango wa kutokea upande wa pili. Natamani sana siku moja waachane na utumwa ili nao wakawe wamiliki wa ofisi zao huku wakitoa ajira kwa wengine.

Mwisho, hakuna raha kama ya kujiajiri unafanya mambo vile unataka mwenyewe, pia sioni cha maana unachofanya kama ulikoajiriwa unapata e.g 200k per month sasa huoni kama unapoteza nguvu na muda ilihali hiyo 200k unaweza kupata kwa siku 3-4 tu?? Au ni heshima/raha ukiitwa mwajiriwa???.

Siku ukipata likizo huko kazini kwako, hakikisha unakuwepo kwenye duka lako kuanzia asubuhi hadi jioni, ndipo utakuja kujua ninifaida ya kusimamia mwenyewe, kuliko kuhangaikia 200k ya boss wako.

Kuna vitu vingi kamwe hawezi kuvifanya mwajiriwa, na akifanya basi ni kwa sehemu ndogo sana. Hapa inategemeana na aina ya hudumu/biashara yako
1. Elimu au ushauri wa kutosha kwa mteja
2. Ubunifu kazini
3. Uaminifu kazini
4. Ushawishi, (kutangaza bidhaa/huduma zingine zilizopo)
5. Usafi na mpangilio bora wa vifaa/bidhaa
6. Heshima/ukarimu kwa mteja
7. Nakadhalika.... Hivi ni baadhi tu
Asante sana kwa ushauri mkuu
Kuna malengo ni.ejiwekea nikiyafikia tu napiga kaz chin
 
Nilifikiri calculator yangu mbovu inanidanganya [emoji23][emoji23][emoji23]. Japo anadai walimuongezea huo mshahara kidogo ila nilipiga hesabu kidogo kwa mwezi wanasave;

50,000+35,000=85,000 ×28=2,380,000 aisee kuna watu wana bahati zao kwa kweli.
Atuwekee tu hata ka screenshot ka salio😂😂😂
 
Asante sana kwa ushauri mkuu
Kuna malengo ni.ejiwekea nikiyafikia tu napiga kaz chin
Ushauri wangu kwa mtu anayetaka kuacha kazi
Asiache bila kuwa na uhakika kuwa biashara anauotegemea kufanya itamsaidia yeye kuendesha maisha yake?
 
Sasa bosi unasave fifte na waifu thete faivu pa dei na bado unakomaa na mshahara wa laki kwanini usielekeze nguvu zako huko kwenye biashara yako? Eniwei, asante kwa chapisho lako.

Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu[emoji50]‍[emoji100][emoji42]
Huyu motivational innovator, uongo uliojaa vumbi
 
Naona baadhi ya watu weameshindwa kuelewa,
Kama Kuna mtu anataka ushahidi
Tafadhali
Ahinisha ni kipengele kipi huamini
Njoo pm nitakupa evidence
Hapa hatuna tunachoshindania
Hata hivyo siwezi kutumia muda wangu kukuandikia uongo ili nini
Hapa naomba ule brother mbishi anayenitukana tukana aje pm
Aseme ni wapi nimechapia nitampa evidence
 
wewe ni wa ku puuza kwani unaeleza vitu ambavyo sio vya kiuhalisia , kadanganye wajingawajinga wenzako pumbavu mkubwa wewe.
Sasa kwa hiyo story yako ambayo hata haieleweki unafikiria utamtia moyo nani. Halafu sijui watu wengine kichwani kwenu kuna matope na sio ubongo.
Unatumia muda mwingi kuandika upumbavu ambao haueleweki halafu unasema eti unawatia moyo watu.
You are rubbish
Mwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.

Kwamba unabisha mpaka kutukana kisa mtu kasema anaingiza 50k per day!?

Watu wanaingiza pesa ndefu zaidi ata ya iyo kwa siku tena kwa biashara ambayo wewe unachukulia poa.
 
Asante sana mkuu
Huyu ni mgumu kuelewa
 
Mwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.

Kwamba unabisha mpaka kutukana kisa mtu kasema anaingiza 50k per day!?

Watu wanaingiza pesa ndefu zaidi ata ya iyo kwa siku tena kwa biashara ambayo wewe unachukulia poa.
😅😅😅amenishangaza kweli yani daa.wakati Kuna masela jioni ikiwadia vizuri milioni yake hi hapa kilaini tuu.kikubwa isitokee ajali nahata ikitokea sio gari zote😅😅

huyo mshamba haamini
 
Mwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.

Kwamba unabisha mpaka kutukana kisa mtu kasema anaingiza 50k per day!?

Watu wanaingiza pesa ndefu zaidi ata ya iyo kwa siku tena kwa biashara ambayo wewe unachukulia poa.
Wewe ndiy mgonjwa wa akili kama unakubaliana na hiyo story .
Najua kuna watu wanaingiza zaidi ya milioni Kwa dakika pia.
Huyo jamaa story yake yote ni uongo .
na sio ya kihalisia ni very poor kuliko motivational speaker wa mchongo
 
Back
Top Bottom