kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
- Thread starter
- #61
Asante sana mkuuUvumilivu na amani ya moyo ndiyo nguzo , keep it up-kila la kheri brother.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuUvumilivu na amani ya moyo ndiyo nguzo , keep it up-kila la kheri brother.
AminaMungu akubariki sana
Peleka upumbavu wako huko ,unadanga umma halafu uachwe pumbavu sana hata motivational uchwara hawatoagi story za hovyo kama hii yakoKuna chochote utapungukiwa ikiwa utapita na Imani yako? Unaonekana una kasirika bila sababu
Kwan umelazimishwa kuamini!?
We ni kiongozi wa familia kweli?
Fundi chetehani
Ususi
Urembo
Cherehan
Upishi
Hivi vyote
Ada yake haizidi laki 3 kwa kozi nzima
Toa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mnoKuna mawili
1,kuamini
2, kupuuza,
Kwa hiyo
Ulitaka niweka data zote hapa kuanzia mji nilipo, kazi nayo fanya oparation coast ,ili muamini?
Hapana lengo langu siyo Hilo,
Lengo langu ni kuwatia moyo wale wenye kipato kidogo wasiache kazi ili wajiajiri Bali wajiajiri wakiwa kazini
Haina shida broo!Peleka upumbavu wako huko ,unadanga umma halafu uachwe pumbavu sana hata motivational uchwara hawatoagi story za hovyo kama hii yako
Tupe chimbo huko kwenye kahawa,bado unaendelea na vipi maslahi?Toa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mno
Baada ya miaka mitatu nilisave 3+milion, nilisema toka moyoni kupitia hii m3 naenda kufanya biashara ya kununua kahawa, niseme tu ukweli ule mwaka nilipiga hela hadi nikasema hivi miaka yote hii nilichelewa wapi??? Ndani ya miezi minne tu nilipata faida ya 3.6m.
Shortly now nimefungua ofisi yangu ambayo ni the same na kule nilikoajiriwa na ninaisimamia mwenyewe, japo pia nimetoa ajira ya vijana wawili.
Jambo ambalo nawasisitiza hawa watumwa wangu ni kwamba, kazi wafanye lakini wasipende kuwa watumwa milele. Kazi wafanye kwa malengo na iwe tu kama mlango wa kutokea upande wa pili. Natamani sana siku moja waachane na utumwa ili nao wakawe wamiliki wa ofisi zao huku wakitoa ajira kwa wengine.
Mwisho, hakuna raha kama ya kujiajiri unafanya mambo vile unataka mwenyewe, pia sioni cha maana unachofanya kama ulikoajiriwa unapata e.g 200k per month sasa huoni kama unapoteza nguvu na muda ilihali hiyo 200k unaweza kupata kwa siku 3-4 tu?? Au ni heshima/raha ukiitwa mwajiriwa???.
Siku ukipata likizo huko kazini kwako, hakikisha unakuwepo kwenye duka lako kuanzia asubuhi hadi jioni, ndipo utakuja kujua ninifaida ya kusimamia mwenyewe, kuliko kuhangaikia 200k ya boss wako.
Kuna vitu vingi kamwe hawezi kuvifanya mwajiriwa, na akifanya basi ni kwa sehemu ndogo sana. Hapa inategemeana na aina ya hudumu/biashara yako
1. Elimu au ushauri wa kutosha kwa mteja
2. Ubunifu kazini
3. Uaminifu kazini
4. Ushawishi, (kutangaza bidhaa/huduma zingine zilizopo)
5. Usafi na mpangilio bora wa vifaa/bidhaa
6. Heshima/ukarimu kwa mteja
7. Nakadhalika.... Hivi ni baadhi tu
Broo we ndio umeelewa vibayaKwa hiyo huyo mke wako ulienda kumsomesha kozi zote hizo?
Ndio maana nakwambia story yako haina uhalisia.
Ungeeleza kiuhalisia kwamba huyo demu wako umemsomesha let say kupamba mademu alipomaliza ukamfungulia lasuni angalau ungeeleweka.
Sasa wewe hata kutumia story hujui au hukumbuki umeandika nini.
What you wrote is rubish
Tupe chimbo huko kwenye kahawa,bado unaendelea na vipi maslahi?Toa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mno
Baada ya miaka mitatu nilisave 3+milion, nilisema toka moyoni kupitia hii m3 naenda kufanya biashara ya kununua kahawa, niseme tu ukweli ule mwaka nilipiga hela hadi nikasema hivi miaka yote hii nilichelewa wapi??? Ndani ya miezi minne tu nilipata faida ya 3.6m.
Shortly now nimefungua ofisi yangu ambayo ni the same na kule nilikoajiriwa na ninaisimamia mwenyewe, japo pia nimetoa ajira ya vijana wawili.
Jambo ambalo nawasisitiza hawa watumwa wangu ni kwamba, kazi wafanye lakini wasipende kuwa watumwa milele. Kazi wafanye kwa malengo na iwe tu kama mlango wa kutokea upande wa pili. Natamani sana siku moja waachane na utumwa ili nao wakawe wamiliki wa ofisi zao huku wakitoa ajira kwa wengine.
Mwisho, hakuna raha kama ya kujiajiri unafanya mambo vile unataka mwenyewe, pia sioni cha maana unachofanya kama ulikoajiriwa unapata e.g 200k per month sasa huoni kama unapoteza nguvu na muda ilihali hiyo 200k unaweza kupata kwa siku 3-4 tu?? Au ni heshima/raha ukiitwa mwajiriwa???.
Siku ukipata likizo huko kazini kwako, hakikisha unakuwepo kwenye duka lako kuanzia asubuhi hadi jioni, ndipo utakuja kujua ninifaida ya kusimamia mwenyewe, kuliko kuhangaikia 200k ya boss wako.
Kuna vitu vingi kamwe hawezi kuvifanya mwajiriwa, na akifanya basi ni kwa sehemu ndogo sana. Hapa inategemeana na aina ya hudumu/biashara yako
1. Elimu au ushauri wa kutosha kwa mteja
2. Ubunifu kazini
3. Uaminifu kazini
4. Ushawishi, (kutangaza bidhaa/huduma zingine zilizopo)
5. Usafi na mpangilio bora wa vifaa/bidhaa
6. Heshima/ukarimu kwa mteja
7. Nakadhalika.... Hivi ni baadhi tu
Asante sana kwa ushauri mkuuToa faida ya huu ushauri wako mkuu, binafsi pia nilianzia huko kwenye kuajiriwa, mshahara nilikuwa napata kiasi 400k, baadae nilikuja kugundua 400k ni hela ndogo sana nikilinganisha na matumizi yangu pia na mambo ninayohitaji kuyafanya maishani. Pia ile hali ya kwenda kazini saa 7:30am na kurudi 22:00pm ilinichosha mno
Baada ya miaka mitatu nilisave 3+milion, nilisema toka moyoni kupitia hii m3 naenda kufanya biashara ya kununua kahawa, niseme tu ukweli ule mwaka nilipiga hela hadi nikasema hivi miaka yote hii nilichelewa wapi??? Ndani ya miezi minne tu nilipata faida ya 3.6m.
Shortly now nimefungua ofisi yangu ambayo ni the same na kule nilikoajiriwa na ninaisimamia mwenyewe, japo pia nimetoa ajira ya vijana wawili.
Jambo ambalo nawasisitiza hawa watumwa wangu ni kwamba, kazi wafanye lakini wasipende kuwa watumwa milele. Kazi wafanye kwa malengo na iwe tu kama mlango wa kutokea upande wa pili. Natamani sana siku moja waachane na utumwa ili nao wakawe wamiliki wa ofisi zao huku wakitoa ajira kwa wengine.
Mwisho, hakuna raha kama ya kujiajiri unafanya mambo vile unataka mwenyewe, pia sioni cha maana unachofanya kama ulikoajiriwa unapata e.g 200k per month sasa huoni kama unapoteza nguvu na muda ilihali hiyo 200k unaweza kupata kwa siku 3-4 tu?? Au ni heshima/raha ukiitwa mwajiriwa???.
Siku ukipata likizo huko kazini kwako, hakikisha unakuwepo kwenye duka lako kuanzia asubuhi hadi jioni, ndipo utakuja kujua ninifaida ya kusimamia mwenyewe, kuliko kuhangaikia 200k ya boss wako.
Kuna vitu vingi kamwe hawezi kuvifanya mwajiriwa, na akifanya basi ni kwa sehemu ndogo sana. Hapa inategemeana na aina ya hudumu/biashara yako
1. Elimu au ushauri wa kutosha kwa mteja
2. Ubunifu kazini
3. Uaminifu kazini
4. Ushawishi, (kutangaza bidhaa/huduma zingine zilizopo)
5. Usafi na mpangilio bora wa vifaa/bidhaa
6. Heshima/ukarimu kwa mteja
7. Nakadhalika.... Hivi ni baadhi tu
Atuwekee tu hata ka screenshot ka salio😂😂😂Nilifikiri calculator yangu mbovu inanidanganya [emoji23][emoji23][emoji23]. Japo anadai walimuongezea huo mshahara kidogo ila nilipiga hesabu kidogo kwa mwezi wanasave;
50,000+35,000=85,000 ×28=2,380,000 aisee kuna watu wana bahati zao kwa kweli.
Ushauri wangu kwa mtu anayetaka kuacha kaziAsante sana kwa ushauri mkuu
Kuna malengo ni.ejiwekea nikiyafikia tu napiga kaz chin
Bank auAtuwekee tu hata ka screenshot ka salio[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu motivational innovator, uongo uliojaa vumbiSasa bosi unasave fifte na waifu thete faivu pa dei na bado unakomaa na mshahara wa laki kwanini usielekeze nguvu zako huko kwenye biashara yako? Eniwei, asante kwa chapisho lako.
Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu[emoji50][emoji100][emoji42]
Mwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.wewe ni wa ku puuza kwani unaeleza vitu ambavyo sio vya kiuhalisia , kadanganye wajingawajinga wenzako pumbavu mkubwa wewe.
Sasa kwa hiyo story yako ambayo hata haieleweki unafikiria utamtia moyo nani. Halafu sijui watu wengine kichwani kwenu kuna matope na sio ubongo.
Unatumia muda mwingi kuandika upumbavu ambao haueleweki halafu unasema eti unawatia moyo watu.
You are rubbish
Asante sana mkuuMwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.
Kwamba unabisha mpaka kutukana kisa mtu kasema anaingiza 50k per day!?
Watu wanaingiza pesa ndefu zaidi ata ya iyo kwa siku tena kwa biashara ambayo wewe unachukulia poa.
😅😅😅amenishangaza kweli yani daa.wakati Kuna masela jioni ikiwadia vizuri milioni yake hi hapa kilaini tuu.kikubwa isitokee ajali nahata ikitokea sio gari zote😅😅Mwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.
Kwamba unabisha mpaka kutukana kisa mtu kasema anaingiza 50k per day!?
Watu wanaingiza pesa ndefu zaidi ata ya iyo kwa siku tena kwa biashara ambayo wewe unachukulia poa.
Wewe ndiy mgonjwa wa akili kama unakubaliana na hiyo story .Mwanetu una ugonjwa wa akili siyo bure.