Kamwe! Usikate tamaa!

Asante sana mkuu tuko pamoja
 
Hata Mimi nisingee achaa ,upo sahihi
 
Well said. I agree mkuu..
 
Mkuu kwenye mishe zako umemuajiri mtu?

Je hupati changamoto kutokana ni hivyo? Muda wako una-manage vipi na usimamizi?
 
Alipozungumzia mkulima si lazima awe na mahekali kinawatu wanamiti majumbani mwao,mbona watu wengi hujumua kwako
 
Hajazingatia location hata mbeya unajumlishiwa parachichi mfuko wa urea 20k
 
We jamaa[emoji2][emoji2]
 
Mkuu kwenye mishe zako umemuajiri mtu?

Je hupati changamoto kutokana ni hivyo? Muda wako una-manage vipi na usimamizi?
Ndio nimemuajiri mtu,
Changamoto ndogo ndogo zipo Ila Nina kamera dukani

Pia Mimi ndie ninayenunua mzigo mwenyewe
Nina daftri la stock na yy pia ana lake
Hivyo nikinunua mzigo naingiza kwenye daftari langu na yy atapaswa kuingiza kwenye daftari lake pia
Natumia pia daftari la mfumo Fulani ambao mtu kuniibia ni ngumu maana linaahinisha kila faida ya bidhaa moja moja



Akitaka kuniibia lazima ahakikishe Kuna mzigo umeingia dukan bila huo mzigo kuingia kwenye daftari langu na lake pia ndo anaweza kuiba FAIDA ya huo mzigo,
 
[emoji2][emoji2]niamini Mimi hauko sawa jomba.
 
[emoji2][emoji2]
 
Tapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…