kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 375
- 410
- Thread starter
- #121
Asante sana mkuuHongera mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuHongera mkuu
Asante sana mkuu tuko pamojaUkitaka ujue watu wengi wamechoka kimaisha we andika stori ya kufaniwa watapinga kwa nguvu zote, ile waridhishe ile hisia ya kuwa "tupo pamoja kwenye msoto"
Wengi wakipandishiwa mshahara nao wanapandisha mitindo ya maisha, hivyo ukileta stori ya kuonyesha discipline katika pesa, wanaona muujiza au chai.
Hongera mkuu.
Hata Mimi nisingee achaa ,upo sahihiHapana mkuu Mimi Sina maslahi mengine Ila tu Nina eshimiana na bosi na naheshimu nilikotoka kazi yangu
Ni kweli silipwi tena hicho kiasi kwa kuwa nimefanya kazi mda mrefu Sasa nachopewa ni mshahara wa 4.7k Ila ni a service charge kila tarehe 15 ya kila mwezi ya makadirio ya 120k-149k na nauli ya 3000 kila siku
Ni hayo tu
Well said. I agree mkuu..Ukitaka ujue watu wengi wamechoka kimaisha we andika stori ya kufaniwa watapinga kwa nguvu zote, ile waridhishe ile hisia ya kuwa "tupo pamoja kwenye msoto"
Wengi wakipandishiwa mshahara nao wanapandisha mitindo ya maisha, hivyo ukileta stori ya kuonyesha discipline katika pesa, wanaona muujiza au chai.
Hongera mkuu.
Mkuu kwenye mishe zako umemuajiri mtu?Hapana mkuu Mimi Sina maslahi mengine Ila tu Nina eshimiana na bosi na naheshimu nilikotoka kazi yangu
Ni kweli silipwi tena hicho kiasi kwa kuwa nimefanya kazi mda mrefu Sasa nachopewa ni mshahara wa 4.7k Ila ni a service charge kila tarehe 15 ya kila mwezi ya makadirio ya 120k-149k na nauli ya 3000 kila siku
Ni hayo tu
Alipozungumzia mkulima si lazima awe na mahekali kinawatu wanamiti majumbani mwao,mbona watu wengi hujumua kwakoEmbu ficha upumbavu wako huko.
Hakuna mkulima wa parachichi anayeuza eti mti mmoja wa parachichi Kwa mfanyabiashara.
Huyo atakuwa sio mkulima wa parachichi ninaowajua Mimi.
Acha kujifanya unahamasisha watu Kwa fake story.
Muuza genge wa mjini hata Njombe mjini hawezi kwenda kununua parachichi moja Kwa moja Kwa mkulima
Hajazingatia location hata mbeya unajumlishiwa parachichi mfuko wa urea 20kMkulima anauza parachichi kwa nani!
Mimi nimezaliwa mwika ni Moshi vijijini
Ndo mfumo wetu wa kuuza parachichi
Tunauza kutumia ndoo tunaweka kwenye viroba siyo mwika tu hata rombo yote ndio mfumo wa kuuza parachichi
Uko uliko parachichi wanamuuzia msindikaji au
Nakushauri usibishe vitu usivyovijua broo
We jamaa[emoji2][emoji2]Milioni tu Kwa siku,
Kuna vijana wapo pale Kkoo wanaingiza zaidi ya million 30 Kwa siku na wametokea ku hustle vibaya.
Sio kama story ya huyu boya .
Story haina hata content.
Nimemuuliza tu mbona hujaeleza umetoka bush ya wapi ukaenda mji gani. Kashindwa kujibu eti atajulikana.
Haya nikamuuliza umefungua biashara gani? Kashindwa kutaja.
Huyo dogo ni mmoja ya watu wanaowapa vijana hope za uwongo eti wawe wavumilivu sijui nini sijui katumwa na wanasiasa.
Maisha ni hustling and discipline tu
Ndio nimemuajiri mtu,Mkuu kwenye mishe zako umemuajiri mtu?
Je hupati changamoto kutokana ni hivyo? Muda wako una-manage vipi na usimamizi?
[emoji2][emoji2]niamini Mimi hauko sawa jomba.Wewe fala nini nije PM kufanya nini, wewe si ndio umeleta story yako ya kipuuzi (kwako ni ya ukweli Unataka kuwahamasisha vijana wasikate tamaa).Kwa story yako ya kimagumashi.
Sasa hujatoa maelezo ya kutosha Unataka uaminiwe eti Kwa ufafanuzi nije PM.
PM siji tujadili hapa hapa live.
Kwa hiyo wewe pimbi umetoa fucking story ili watu wakufate PM ili utake kuwatapeli nini?
Ndio maana naendelea kukwambia story yako ina mapungufu makubwa na sio ya uhalisia Ninasema hivyo Kwa sababu ya critical thinking yangu.
Nakukemea acha kupotosha .
Kwa hiyo umetoa story ambayo haijajitosheleza mtu alitaka ufafanuzi akufate PM halafu Unataka story yako hiyo ihamasishe vijana.
Embu toa upuuzi wako hapa .
Pumbavu mikubwa wewe acha kulaghai vijana wewe waweza kuwa ni walewale matapeli wa kwenye mtandao
Huyu bwana ni mbishi sanaAlipozungumzia mkulima si lazima awe na mahekali kinawatu wanamiti majumbani mwao,mbona watu wengi hujumua kwako
Bora umwambieHajazingatia location hata mbeya unajumlishiwa parachichi mfuko wa urea 20k
Alitakiwa aje tu pm ili anihakikishie[emoji2][emoji2]niamini Mimi hauko sawa jomba.
[emoji2][emoji2]Nina akili za uchumi na biashara kulipo wewe Kwa jinsi ulivyoleta story yako.
Halafu Kwa taarifa yako sijawahi kusikia eti mkulima wa parachichi anamuuzia parachichi mfanyabiashara wa parachichi wa kwenye magenge.
Yaani wewe unauza parachichi kwenye genge la mtaani unaenda kununua parachichi moja Kwa moja shambani Kwa mkulima?
Hata njombe hawafanyi hivyo.
Nakwambia story yako ya uongo
Mafanikio ni mwanzo wa chuki, na mti wenye matunda upigwa mawe, potezea tu.Huyu ananikasirikia kama Kuna kitu nimemuomba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TapeliWewe fala nini nije PM kufanya nini, wewe si ndio umeleta story yako ya kipuuzi (kwako ni ya ukweli Unataka kuwahamasisha vijana wasikate tamaa).Kwa story yako ya kimagumashi.