Kamwe usikubali mwanamke akuone huna msimamo kisa kichwa cha chini kimesimama

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
3,045
Reaction score
3,389
Wakuu,

Hawa watoto wa kike wanajua udhaifu wetu ni papuchi.

Kuna wakati unakataza jambo fulani ila yeye hasikii anakiuka kwa makusudi. Au anafanya kosa fulani analojua kabisa ulishamkanya hupendi...

Au umetoa maelekezo fulani kama baba wa nyumba na akakiuka kuyatekeleza kwa makusudi tu

Mwanamke akishaona amekukosea, sometimes hajishushi wala kuomba radhi. Anaweza naye kukurudishia maneno wakati ukitaka clarity. Uki mind zaid, baadae usiku anakuja kukutega tega anakupa papuchi akitegemea kuwa utasahau makosa aliyofanya.

Cha kufanya, usiingie kwenye huo mtego, kula zako mzigo safi halafu endelea kumkazia makosa aliyofanya hadi ajishushe na kuomba radhi. Au kama una guts za kuvumilia usile mzigo hadi aombe radhi na kukiri kosa.

Msimamo wako kama mwanamume usinunuliwe kwa rushwa ya kichwa cha chini kusimama.

Tuishi nao kwa akili hawa
 
Msiwe hivo
 
mbona wengi wapo hivyo kwenye vitu vingi tu sio kwasababu ya hicho kitu pekee ulicho kitaja, cha msingi tafuta mwenza mzuri na sahihi achana na hao wasio jitambua, mwanamke mwenye kujitambua hawezi kuwa mpuuzi au kufanya upuuzi flani kukukomoa bila sababu za msingi ila ukikutana na hawa wasio jitambua wanaweza kufanya vitu hata vitakavyoweza kuwadhuru na wao ili mradi wakukomoe hawa hawafai.
 
Back
Top Bottom