masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kujitutumua kivipi?Inategemea; Kuna biashara ( has za service ) lazima ujitutumue, otherwise anakuwa worried!
Kujitutumua kivipi?
Fafanua
Hapa naongelea mtu anakuja na ela yake afu unamuona fala
Kwa kusamaraizi
Ndugu yanguUkizarau Mteja wewe sio mfanya biashara
Mtu anakuja kuulizi duka zima ila hanununiKipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
mweke kwenye biashara mtu aliye maliza chuo anasubiri ajira. kama hujahis umelongwa na ndugu wa mkeUkizarau Mteja wewe sio mfanya biashara
Sijui ni uzoefu wangu tu au vipi lakini nafikiri wanawake wana hii changamoto zaidi. Kuna dada mmoja wakala maeneo ya mtaani kwetu nishaacha kabisa kwenda kufanya mihamala kwake.Ndugu yangu
Bongo huduma ni mbovu
Mpaka basi
Ukisogea tu hapo kwa ruto utajionea tofauti kubwa sana kwenye kutoa huduma
Mtu anafanya biashara lakini ukienda pale anakuonesha hana shida kabisa na hiyo ela yako
Kwa huduma atakayokupa
Kuna kipindi nilikuwa nakaa kwenye ki hardware changu akaja mteja kununua vifaa akawa anitajia vifaa nikawa naandika mahali ili nimpigie hesabu alinitajia vifaa karibia duka zima na akaondoka huku nikiendelea kumpigia hesabu.. biashara ni uvumilivu na hekima na kujishushaMtu anakuja kuulizi duka zima ila hanununi
Mi nawatreat wateja woote sawa
Wengi wanajikuta wananua tu
Kiukweli siachi ela
Ninkweli kabisa. Uenda akawa anataka kujua bei ya bidhaa kwanza ili aje kufanya manunuzi badae au siku nyingine sasa ukimletea nyodo maana yake ushakosa potential salesMtu anakuja kuulizi duka zima ila hanununi
Mi nawatreat wateja woote sawa
Wengi wanajikuta wananua tu
Kiukweli siachi ela
Umezungumza point sana, kuna siku nilikua na mawasiliano na mtu wa Taiwani alikua ana promot bidhaa zao kwenye masoko ya afrika haswa huku mashariki, binafsi nilimpa maelezo mengi juu ya masoko ya Tanzania kwa bidhaa zao, alifanikiwa kupata wateja.Ndugu yangu
Bongo huduma ni mbovu
Mpaka basi
Ukisogea tu hapo kwa ruto utajionea tofauti kubwa sana kwenye kutoa huduma
Mtu anafanya biashara lakini ukienda pale anakuonesha hana shida kabisa na hiyo ela yako
Kwa huduma atakayokupa
Hii inatokea sana mtu kataja bei yake unamwambia alipie bado hana alafu kashakutupia lawama.Kipindi nafanya biashara ya magodoro kuna jamaa alishawahi kuja kuulizia godoro, nikamtajia bei [180k] akasema napiga mno nishushe kidogo...
Nkamwuliza una sh ngapi akasema ana [140k] nkamsoma nikagundua hana pesa, Then nkamwambia lipia uchukue, Aisee alijikanyaga pale hadi nkamuonea huruma, nkamwambia aende...
Sometimes wateja wenyewe hua wanatutaka tuwajibu vibaya, Hekima inahitajika saana...
Sio poa mkuuHii inatokea sana mtu kataja bei yake unamwambia alipie bado hana alafu kashakutupia lawama.
Mjasiriamali hutakiwi kuiacha pesa ikukimbie ...Mtu anakuja kuulizi duka zima ila hanununi
Mi nawatreat wateja woote sawa
Wengi wanajikuta wananua tu
Kiukweli siachi
Unakuta ameajiriwaSijui ni uzoefu wangu tu au vipi lakini nafikiri wanawake wana hii changamoto zaidi. Kuna dada mmoja wakala maeneo ya mtaani kwetu nishaacha kabisa kwenda kufanya mihamala kwake.
Ana laptop yake pale ofisini kwake, anakuhudumia mteja huku yupo bize na movie, yaani anashindwa hata kuweka movie pause kwanza amalizane na mteja.
Siku aliyoniletea huo ujinga mimi nilimchana live na sijawahi kurudi tena pale ofisini kwake mpaka leo