Kamwe usimwamini mwanamke

we mhudumu hii chai mbona haina tangawizi na mafua mimi
 
Wewe ni zoba.
 
Bora wewe kusita mimi nasikia uchungu kweli hata hamu ya kufunga ndoa sina kabisa, unajua hivi vitu sikia au soma kwa mwezio vikitokea kwako ndo utajua kwanini watu hawapendi kufunga ndoa.
Hapana ndoa ni Baraka Mkuu wapo wanao furahia usikate tamaa me leo nalia lakini Kuna wanandoa huko wanatimiza miaka 8 mpaka 20 ya ndoa so inategemea Mkuu.
 
Fanya lolote unaloweza kufahamu mwenendo wa mwanamke wako

Ni wanaume wasenge tu ndio huwa wanachukulia poa hili suala

Na ukimbaini ni kupiga chini
Wewe ni muhanga wa haya mambo ya kukagua simu ya mkeo

Acha ujinga
 
Sure mkuu.
 
Hapana ndoa ni Baraka Mkuu wapo wanao furahia usikate tamaa me leo nalia lakini Kuna wanandoa huko wanatimiza miaka 8 mpaka 20 ya ndoa so inategemea Mkuu.
 
Mimi mtazamo wangu ni tofauti sana inapohusu kudeal na hawa viumbe hawajawahi kuniumiza akili wala kunimanipulate
wanakuumiza ndio maana unasisitza sana kuwafuatilia,tusio jali hatuna mda huo coz tunajua ukiyatafuta majanga tambua utayapata

Kwangu mimi kikubwa heshima iwepo yani asinionyeshe huo ujinga,yan nisijue,lkn sio mimi kutafuta tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…