Kamwe usimwamini mwanamke

wanakuumiza ndio maana unasisitza sana kuwafuatilia,tusio jali hatuna mda huo coz tunajua ukiyatafuta majanga tambua utayapata

Kwangu mimi kikubwa heshima iwepo yani asinionyeshe huo ujinga,yan nisijue,lkn sio mimi kutafuta tatizo
Mimi ninaumia sana ninapoona mwanaume anateswa na mwanamke huwa nashindwa kujizuia kuondoa ujinga kwa wanaume wapumbavu wanaoteswa na wanawake
 
Nmecheka kama mazuli ila tuko pamoja bro yamenikuta mwaka jana now niko poa an cool cha msingi isitumie asira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…