Kamwe usimwamini mwanamke

Sms zao zinanisimamisha mpaka mimi mja mtazamaji
 
Kama hii simulizi ni ya kweli, basi Pole sana ndugu. Huyo inaonekana ni kahaba mzoefu. Hata kabla hamjaoana alishaanza umalaya wake kitambo.......
 
Taarifa mbaya ni kuwa kuoa mwanamke sio tiketi ya kufunga milango ya X.wake
 
Mwanaume halisi ni NGUMU sana, yaani ngumu sana ku share mambo ya AIBU ya mkewe, ngumu sana. Ipo hivi; watu waliokulia na kulelewa na baba pasipo mama, and let assume mama yupo HAI, siku wakikutana na mama zao, wataambiwa UBAYA wote wa baba zao BUT pamoja na kukaa na baba miaka na miaka hutakuja kujua why baba aliachana na mama yako, baba hatakuja kusema siri hiyo hata kama alimfumania mama yako na mwanaume mwengine. I doubt either na UANAUME wako or the truth of this story. Either of 2 is correct. Kwa ufupi najilaumu kuisoma hi story cause nina hakika sio ya kweli, ni imagination
 
That is how real man we do. Ni ujinga kusema haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…