Kamwe usimwamini mwanamke

Lazima kutakuwa na nyuzi za migogoro ya ndoa za ukweli lakini nimeshtukia uongo ni mwingi pia, sijui kuna mtu anafaidi kueneza propaganda?

Muandiko wa kitoto kabisa huu, unaushtukia.

Na matukio yenyewe hayana uhalisia, thread za siku hizi nyingi unakuta zina mambo ya ufiraji ambayo tunajua sio kawaida kabisa.

Au ni mimi na ushamba wangu naongea nisichokijua?
 
Ila hizi ndoa zina mambo saana kwa stori kama hii unaweza kusema mimi muda huo huo mke anaondoka lakini yakikufika unaweza kupigwa bubuwazi na usijue cha kufanya lakini siku zote mwanamme lazima uwe na maamuzi yanayoonesha kuwa wewe ni mwanamme.
 
Nimecheka Kwa sauti Hadi nimejistukia, hakuna alie salama, YESU NI BWANA.
 
Chai 🍡
 
Ni kweli bro kwa mwanamke usimuamini hata kidogo! Yaan ambaye hayajamkuta hawezi elewa hili jambo ila gumu sana! Kiufupi Wazazi wetu wanapenda tuwe ktk ndoa ila ndoa ni ukichaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…