Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Mahari ni Zawadi yoyote ya lazima kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke anaeolewa, sasa ukiona Mwanaume anashindwa kutoa Mahari basi ujue Mwanamke kaleta tamaa
 
Bongo unakuta wahuni wameshajitobolea bado unapigwa mahari 5M
 
Akili hamna
Unaweza kuwa sahihi kwamba hatuna akili. Ila ukumbuke swali lako linasema hakuna mtu kwenye biblia alioa bila kutoa mahari, bila kujali aidha ni halali au sio halali.

Pia kabla haujahukumu jitahidi kusikiliza na kuelewa
 
Kukuongezea tu, mimi nimeoa na nilitoa mahari. Kwautaratibu wa kwetu, wazazi wa binti ndio wanatamka kisha mnaanza bargain, kima cha chini ni ng'ombe 6
 
Unaweza kuwa sahihi kwamba hatuna akili. Ila ukumbuke swali lako linasema hakuna mtu kwenye biblia alioa bila kutoa mahari, bila kujali aidha ni halali au sio halali.

Pia kabla haujahukumu jitahidi kusikiliza na kuelewa
Mngekuwa mna akili msingeniuliza hilo swali
 
Mahari ni Tradition,ni zawadi kwa wazazi,regardless mwanamke ametumika ama not..huu ni utamaduni wetu,siwaelewi mnaoupinga, kwa mfano leo Mchaga aache mbege..inawezekana lakini somehow impossible
 
Mahari ni Tradition,ni zawadi kwa wazazi,regardless mwanamke ametumika ama not..huu ni utamaduni wetu,siwaelewi mnaoupinga, kwa mfano leo Mchaga aache mbege..inawezekana lakini somehow impossible
Umenena vema, ila kuna watu wameacha utamaduni na wameingia kwenye usasa, ndio hao utasikia "bila milioni kadhaa binti yetu haolewi." Tamaduni nyingi zinajulikana kuwa walau uwe na kiasi kisichopungua kadhaa na wengine wana kikomo cha juu cha mahari. Wazazi wakiingiza tamaa ndipo utaratibu huwa wa hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…