Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari


Kati ya posts bora za 2020
Mabinti waliopitia huu uzi wakaufanyia kazi watakuja kukushukuru Saint Anne
 
Hebu tufanye mapinduzi! Tuige Wahindi, mwanamke ndiye anaelipa mahari. Kama vipi zaeni watoto ila kila mtu akae kwake mtunze watoto kwa pamoja.
 
Ubarikiwe dada[emoji120]
 
Noma
 
Akiendelea zaidi na mauzauza yake atakuwa Zumaridi mwingine.
 
Nilipitwaje na Uzi wa wifi ake
Kwakweli, ukimsaidia kutoa mahari ujue umechukua majukumu
 
Huyo hafai
Wachana na mahari hata elfu50 ya kuweka kwenye barua ya uchumba hana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Haina shidaaaa..itafikia kipindi na sisi tutataka kuowa wenye bikra zao....nikikuowa kwa fedha nyingi ( mahari) halafu nikakuta huna bikra wallah nitakomaa mpaka mnirudishie pesa yangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…