Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #41
Hata wasio kigori watalipiwa tu maana watumiaji wakubwa ni nyinyi wenyewe"ukitumia biblia, anaetakiwa kulipiwa mahari ni binti kigori tu....... ndivyo torati inavyoeleza!.."
Ahaa
Kabisa mkuumahari ni lazima
kabila letu baba ndo anawajibika kulipa mahari. kama hana uwezo ndo mimi natafuta, kama nimeshindwa ndugu zetu wa ukoo wanachangia
lakini hakuna vya bure
Bora usioe
Jf haijawahi kuniangushaNimeambatanisha hapo kusisitiza hoja, lakini pia manguli wengi wa bibliani hawakuwa na mke mmoja, sijui unatushauri vipi Mtakatifu Anne.View attachment 1595626
Hembu taja visa japo viwili unavyoviona kama adhabuUkisoma visa vya kulipa mahari kwenye biblia, kama umesoma kweli ,ilikuwa kama adhabu
Inasikitisha Sana kuona baadhi ya wasichana wanajilipia mahari.Na wengi wanaojilipia mahari ndoa zimewatokea puani, wameishiwa kuuliwa tu, na kuteswa Hadi kuachwa walemavu, mwanaume asiyeweza kutoa mahari na asioe kabisa aisee mpaka awe vizuri
Kwanini?Mdogo wangu uwanaharakati wa haki za binadamu unakufaa sana
Mahari ni Asante kwa wazaziKulipia mahari kwa lugha kamili ya Kiswahili ni kununua mtu.
Sasa ole wako nikununue alafu ukumbuke kwenu! Nina mamlaka ya kuifanya bidhaa yangu niliyoinunua kwa pesa yangu vile nitakavyo
Wapi huko wanataja mahari kubwa?Hili neno 'mahari' mmelikuza sana nyakati hizi, utakuta unatajiwa mahari kubwa kama vile unalipishwa fidia.
Nadhani hali ya kiuchumi huchangia hili.
Asante kwa wazazi wangu mimi mwanaume ni nini?Mahari ni Asante kwa wazazi
Hiyo tafsiri nyingine Mimi siijui..
Na unapomlipia mahari mwanamke unamchukua anakuwa chini ya himaya yako,kuwa chini ya himaya yako siyo sababu ya kumnyanyasa.
Jacob alichunga Mifugo miaka mingi tu.....ili aoe,Hembu taja visa japo viwili unavyoviona kama adhabu
Alafu Unakuta Binti Hana Bikira ata Moja,, Hadi za masikioni wameziguaHuyo uliyemnukuu alilipiwa mahari kiasi gani?
Kuna wazee wakuda wanataja mahari ndefu utadhani wanataka kupata mtaji wa biashara...
Sijui kreti mia za bia, ng'ombe kumi, mbuzi sijui wangapi...
kama bikra ipo hakuna mwanaume atakaegoma kutoa mahari bt tatizo wengi wenu kwa sasa mmetumika sanaKama wewe huwezi kuoa acha wenzio wataoa.
Hakuna mke utakayegawiwa bure.
Mwanaume atabaki mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamkeAsante kwa wazazi wangu mimi mwanaume ni nini?
Kumbuka pia nikishakuoa nakuwa chini yako,,,,, kwani siku hizi hamtaki tena haki sawa kwa wote?
Kwa hapa zile kauli za haki sawa umezitia mfukoni 😀Mwanaume atabaki mwanaume na mwanamke atabaki kuwa mwanamke
Ukitaka kutolewa mahari basi badilika uwe wa kike ,,kitu ambacho hakiwezekani.
ila wewe unaongea vitu ambavyo huna uhakika navyo!Mbona mahari zinazopangwa ni za kawaida kabisa.
Wanaume wenyewe ndiyo wasatoaji wazuri wa hizo bikra za wanawake.
Zamani wanaume walikuwa watulivu.
Itabidi nawe usubiri dada zako wawe wnaelekea kuolewe then the cycle goes on and on.....Tena ukienda kuoa sehemu ambayo kuna kaka yake anatarajia kuoa.
Unajikuta umemlipia na huyo mkuu.