Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Ndivyo mahari ilivyo[emoji23]
Hivyo vitu vyote ni kwa ajili ya Akhsante.
Tena Zamani vilikuwa vinatolewa vitu tu.
 
Tunapaswa kuwaonya vijana wote wa kike na wa kiume kujitunza.
Na si kuwanyoshea vidole watoto wa kike tu.
sahihi, ila wa kike anapaswa kupewa mkazo maana anaepata hasara ni yeye!.......

imagine umepata mimba kabla ya ndoa, ukazaa mtoto akawa sio riziki, madhara yake vipi?..........

wakinga tunasema 'ojo na khyombo hya mkhabati'
 
Kwani umelazimishwa kuoa aliyezalishwa?
Si umetaka mwenyewe!

Mkuu tafuta huyo make wa bure wa kukupa wewe mahari uone kama utapata.
Kwa tafsiri nyingine yeye anakuoa na wewe upo tayari kuolewa.
 
kwamba mahari ni za kawaida, hivi 3m awamu hii ya huyu baba ni kawaida!

Again, Purity sio kwa wote, huoni kina Daudi walioa zaidi ya mmoja na sample zote zilikua pure![emoji16][emoji16][emoji16]
Inategemeana na jamii husika.
Wengine hiyo hela ni ya kawaida mkuu,yawezekana Mimi na wewe tukaiona kubwa kwa sababu hatunam..kama hatuna tusidhani watu wote hawana[emoji23][emoji23]

Wakina Daud kufanya dhambi haikupi uhalali wa wewe kufanya dhambi.
 
Hizi tamaduni ndiyo zinafanya mwanamke wa kiafrika kuchezea kichapo huku mwanaume akiamini ni haki yake.
 
sahihi, ila wa kike anapaswa kupewa mkazo maana anaepata hasara ni yeye!.......

imagine umepata mimba kabla ya ndoa, ukazaa mtoto akawa sio riziki, madhara yake vipi?..........

wakinga tunasema 'ojo na khyombo hya mkhabati'
Hasara ipo kwa wote maana nyinyi ndo waoaji na mnawaoa hao hao.

Mkipanda mahindi mtavuna mahindi.

Wote tu wanapaswa kupewa mkazo

Kumbe we mkinga?!?!
 
Inategemeana na jamii husika.
Wengine hiyo hela ni ya kawaida mkuu,yawezekana Mimi na wewe tukaiona kubwa kwa sababu hatunam..kama hatuna tusidhani watu wote hawana[emoji23][emoji23]

Wakina Daud kufanya dhambi haikupi uhalali wa wewe kufanya dhambi.
aaahhh bwana weee, kwanza we mwenyewe unatetea hivi usikute ni makabila ya mbeya au njombe, mahari zetu tunajuana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

agano la kale karibu wote walioa zaidi ya mmoja, unataka kusema walitenda dhambi?.......... (usilete maoni ya Paulo hapa[emoji847])
 
Kwani umelazimishwa kuoa aliyezalishwa?
Si umetaka mwenyewe!

Mkuu tafuta huyo make wa bure wa kukupa wewe mahari uone kama utapata.
Kwa tafsiri nyingine yeye anakuoa na wewe upo tayari kuolewa.
Umejibu kike kike mno,nilitegemea ungeniuliza mimi kama mwanaume ndo najikuta ktk situation hiyo ningefanyaje?

Obviously ni ujinga kuita watu kikao kujadiliwa nyumbani mwangu mahari ya bint ambaye humo ndani yupo mjukuu aliyeniletea huyo nawapa baraka zangu kama mzazi wende wakafanye maisha yao huko wasitoe hata cent tano.
 
Ndo mana mkiolewa mnateswa halafu mnajishaulisha kuwa nyie ni vitu mmenunuliwa
 
Huyo Paulo nitamsema tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yote ni ubatili na kujilosha upepo.Kila mwanaume na awe na mke mmoja[emoji108]
Sasa nyie jidaini kupingana na maandiko[emoji1787]
 
Sasa mkuu kumbe uliniuliza maswali ukiwa na majibu yako kichwani tayari!?!
Kulikuwa hakuna haja ya kuniuliza.
Hata hivyo,Mimi ni wa kike.

Ujinga zaidi ni wanaume kufungua zipu hovyo na kutegemea kuoa mabinti wasiotumika wakati Wao ndo watumiaji wakuu.
Lazima wavune walichopanda...mahari lazima zitolewe
 
ikiwepo familia yetu.

just as i suspected!

watu wa mbeya au njombe uoe bila kutoa vitu? subutu[emoji23][emoji23][emoji23]

ng'ombe 2
mbuzi 6 (ya shangazi, babu, uncle, bibi)
kuku 5
debe la mtama
gunia la mahindi
kreti 4 za soda
sukari katoni
chumvi
majani
sufuria kubwa 2
mkaja wa mama
blanket la mama
kitenge cha bibi mzaa mama

bado (ngandapakhelo) utafikiri nimemchukua usiku wakati ni harusi[emoji849][emoji849]

fedha taslimu 2m..........

wakinga Mungu anawaona[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
 
Huyo Paulo nitamsema tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Yote ni ubatili na kujilosha upepo.Kila mwanaume na awe na mke mmoja[emoji108]
Sasa nyie jidaini kupingana na maandiko[emoji1787]
it was his revelation, not neccesarily yours!.......... si unaona pengine anashauri watu wote mwe kama yeye!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…