Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
-
- #101
Hiyo 2m ni kutulisha upepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]just as i suspected!
watu wa mbeya au njombe uoe bila kutoa vitu? subutu[emoji23][emoji23][emoji23]
ng'ombe 2
mbuzi 6 (ya shangazi, babu, uncle, bibi)
kuku 5
debe la mtama
gunia la mahindi
kreti 4 za soda
sukari katoni
chumvi
majani
sufuria kubwa 2
mkaja wa mama
blanket la mama
kitenge cha bibi mzaa mama
bado (ngandapakhelo) utafikiri nimemchukua usiku wakati ni harusi[emoji849][emoji849]
fedha taslimu 2m..........
wakinga Mungu anawaona[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Mimi tangu dada zangu waanze kuolewa sijawahi ona vitu havijatolewa[emoji23][emoji1787][emoji23]
Vitenge,mashati,mablanket,viatu,yaani vitu Kama vyote
Na katika ununuaji wa hivyo vitu dada anaomuorodheshea shemeji kabisa[emoji1787]
Labda sijui kama utaratibu utabadilikia kwangu.