Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

Kamwe usiolewe na mwanaume asiyeweza kukulipia mahari

just as i suspected!


watu wa mbeya au njombe uoe bila kutoa vitu? subutu[emoji23][emoji23][emoji23]

ng'ombe 2
mbuzi 6 (ya shangazi, babu, uncle, bibi)
kuku 5
debe la mtama
gunia la mahindi
kreti 4 za soda
sukari katoni
chumvi
majani
sufuria kubwa 2
mkaja wa mama
blanket la mama
kitenge cha bibi mzaa mama

bado (ngandapakhelo) utafikiri nimemchukua usiku wakati ni harusi[emoji849][emoji849]

fedha taslimu 2m..........


wakinga Mungu anawaona[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Hiyo 2m ni kutulisha upepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi tangu dada zangu waanze kuolewa sijawahi ona vitu havijatolewa[emoji23][emoji1787][emoji23]
Vitenge,mashati,mablanket,viatu,yaani vitu Kama vyote
Na katika ununuaji wa hivyo vitu dada anaomuorodheshea shemeji kabisa[emoji1787]

Labda sijui kama utaratibu utabadilikia kwangu.
 
Hiyo 2m ni kutulisha upepo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi tangu dada zangu waanze kuolewa sijawahi ona vitu havijatolewa[emoji23][emoji1787][emoji23]
Vitenge,mashati,mablanket,viatu,yaani vitu Kama vyote
Na katika ununuaji wa hivyo vitu dada anaomuorodheshea shemeji kabisa[emoji1787]

Labda sijui kama utaratibu utabadilikia kwangu.
hawajawahi kutoa hela cash?...... uliza utajua!


kabila gani hilo? sijui labda kama msafwa!
 
Naoa zangu ulayaaaa...Haya mambo ya kitenge cha shangazi na koti la Babu kule hayapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yah hapo sawa[emoji1787][emoji1787]
Tuacheni wabongoo[emoji108][emoji108][emoji108]
Tunataka vitu
 
Neno likimaliza kazi yake linarudi kwake!...... usiwe binded sana na revelation za watu individually, kuna mafunuo kwa watu wote na mafunuo kwa mtu binafsi!


kwaio hatuna uhakika kama hilo lilikua la kwake binafsi (ila yeye akalitafsiri kama unviersal) au kinyume chake!
Neno la MUNGU litasimama.
Mambo yote yatapita bali Neno litasimama...acheni kutaka kuhalalisha wake wengi kwa kisingizio hicho.

Hadi limeandikwa kwenye Bible ujue ni la kweli
 
Kamwe usiolewe na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Sikuwahi kuona kwenye Biblia mwanaume aliyepewa mke bure.

Tena wengine mnajifanya kupenda sana, unalazimisha kuolewa na mwanaume ambaye hawezi kukulipia mahari. Wengine mnaenda mbali zaidi na kuwasaidia kulipa hizo mahari.

Ukiona umemsaidia kulipa mahari usishangae na huko ndani akakuachia majukumu yote ya familia.

Kama unampenda msaidie mambo mengine lakini ikifika muda wa kulipa mahari hiyo ngoma mwache aicheze mwenyewe, ikimshinda basi huyo hakufai.

Kwanini hakufai??

Hakufai kwa sababu suala la kuoa siyo surprise ni suala la kujiandaa. Kama mchumba ameweza kununua mahitaji yake yote, atashindwaje kukulipia mahari!?!

Binti nakwambia usije thubutu kujifanya unamsaidia mwanaume kulipa mahari, hilo ni lake. Ukimpa mahari ujue umejioa mwenyewe dada.

Na wale vijana mnaolipiwa mahari na wazazi wenu pia siwaelewi jamani. Usije ukashangaa mke anakuwa wa ukoo, wao ndiyo wanamcontrol na hauwezi kufanya jambo bila wao.


Na
Winnie Kilemo
Kwa kweli la kwanza ni mimi kuokoka.
La pili napambana nipate hata bata wawili nilete nikuchukue.
 
hahahaaaa naona umemwanza Khantwe sasa..............


kama unaamini ktk hayo basi na wewe ni mshirika,,,,
Mimi siamini ila lisemwalo yawezekana lipo[emoji23][emoji23]

Akija huyo sista wangu hapa sijui nitajificha wapi[emoji13]
 
Back
Top Bottom