Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mashabiki wa hizi team... Wanakuwa hawana akili. Asilimia 80 plus. Usibishe.niamini mimi. Msikilize anachoongea Ali Kamwe na anachofanya akiwa ameambatana na mashabiki hao hao. Ni hovyo kabisa. Hamna akili.
Kauli anazotoa Ali Kamwe kwa sasa au anachoandika kinaonesha alipata udumavu wq akili au alibemendwa. Na msikilize msemaji wa Simba Ahmed Ally anaongea pumba naye most of the time anafanya ucheshi. Hata katika mambo serious. Kinachosikitisha ni Kuwa ana watu nyuma yake wanamsikiliza.
Inashangaza sana. Hawa watu wana matatizo gani? Ok.niseme hizi teams zina matatizo gani?
Ndo maana Serikali imeweka hapo macho yake.kuzitumia kuwapumbaza watanzania wengi sababu hawana akili au uelewa.
Usithubutu kumwacha mtoto wako awe mshabiki wa hizi team. Atakuja kuwa naye kama fala sababu huwa mashabiki wa hizi teams wanaondolewa akili.